Zahanati zipo? Maana hospital za serikali kila kitu kina beiHosptali wanaanziga 5000 mpka 10000. Imekiwa dili ko wewe ukienda sema dokta chanjo hepatitis unanifanyia ngap? Haijahalalixhwa bei ni negotiation
Nimecheka sana mkuu why uitwe Kantangaze ukiugua unakuwaje kwani😁😁Gono unaumiza sana wanaume ila una siri.. Ila kaswende ni hauna siri kabisa unatakiwa uitwe kantangaze
Rough road si ndio shimo la taka? Kule sio mazeee,Mamaeee nakumbuka siku nliowahi kupita rough road, baada ya siku 5 usiku wake naona kama vimaji maji vya njano vinanitoka, nikaingia Google na JF kutizama hil ni tatizo gani mara nikajiuliza au gono hili, asubuhi yake chap nikaenda dispensary kupima kama ni gono, nurse akanipima UTI na gonorrhea.
Majibu yakaja sina gono ila nina UTI nyingi, nikasema duuh ile ya kuchomeka tu na kutoa ndio UTI yote hii.
Nikaandikiwa na dawa nikawa natumia kwa muda wa siku tano, usaha unazidi kutoka tu.
Nikachukua dozi nyengine ushaha unazuia, dozi ukiisha usaha pale pale.
Nikikojoa mkojo unagawana njia, nikisimamisha mashine inauma kama inatogwa na sindano.
Nikasema hapa safari hii imekula kwangu.
Nikawa nakunywa maji mengi kama sina akili vizuri ili ku flush wale bacteria wa E.Coli ngoma ipo pale pale.
Nlidumu na tatizo hilo kwa muda wa miezi 6, ilikuwa ukitumia dawa linakupa moyo ukimaliza dozi ukikaa siku mbili tatizo linajirudia pale pale.
Mpk kuna dawa moja ya kijani jina nimeishasau ndio iliyonisaidia ndio tatizo la muasho na maumivu wakati wa kudindisha ndio iliyonisaidia.
Baada ya mda kupita ndio mkojo ukawa katika njia yake ya stream line.
Wakuu ogopeni sana rough road.
Unatoka mapere kama tetekuwangaNimecheka sana mkuu why uitwe Kantangaze ukiugua unakuwaje kwani😁😁
Huko hukoRough road si ndio shimo la taka? Kule sio mazeee,
Mwilini kote au ikulu ?Unatoka mapere kama tetekuwanga
Ukiwa na miaka 40 utakiwa uwe umekula mbusus 80Kuna baadhi wanaona ni sifa,kama una miaka 40 na hujala mbususu zaidi ya 40 huo ni uzembe wa hali ya juu mno
Mwilini koteMwilini kote au ikulu ?
🙄🙄 Watu noma, kutapisha choo na magonjwa kama hayo ni pumzi na uhaiHuko huko
Tombenii malaya nyie ili msipate magonjwa.Mwaka 2006 kuna mwanangu mmoja alipata Syphilis ikapelekea hadi kupata vipele fulani vyenye usaha kichwani. Kuna rafiki yetu ni daktari alikuwa anaenda kumchoma sindano home kwake, jamaa alikuwa analia kama mtoto na kugalagala chini akisema zinauma sana. Bahati mbaya sasa, binti aliyempa ule ugonjwa alikuwa anatokea ushuani yani, pisi kali kwelikweli.
Kuna mwanangu mwingine alipata gono, bahati mbaya sana mke wake akafahamu akaja kulalamika kwetu akitishia talaka. Jamaa anaumwa, mke kakazana amtaje huyo mwanamke aliyelala naye. Akatishia kuyapeleka kwa wazazi. Binti aliyempa ule ugonjwa ni mzuri na huwezi hata kumdhania aisee. Ilikuwa ni balaa juu ya balaa...
Baada ya haya matukio kutokea, niliamini kwamba Looks can be deceptive....
Ukihangaika sana na hawa mabinti unaweza hata ukapata matatizo na mikosi tu....
AiseeeMwilini kote
Statement za kishamba Hizo,Sio kama mafua,yaan hata wao wanaamin ni magonjwa hatar,ila wanaamin kama hujawah kuyaugua ina maana wewe ni mwoga sana na mbususu hujazila vya kutosha
80 au 800 🤣🤣Ukiwa na miaka 40 utakiwa uwe umekula mbusus 80
Kuanzia mdomoni na usaha juu. Ukicheza unaoza.. Picha za wahanga ukiangalia hadi utaogopa..Aiseee
Ila unatibikika sema ujinga wa huu ugonjwa jinsia zote mbili wanaweza kukaaa nao muda mrefu na unaweza kuua au kukupa ugumba, maana una stage zake ukipuuzia tu dalili zikapotea basi utaishi nao mpaka dalili za stage nyingine nazo ukipuuzia tu unakutana na last stage sasa hapo ndio kisangaAiseee
Mkuu kuna wanawake wasafi wazuri wapo smart, wana hayo magonjwa. Shukuru device yako haijawa connectedStatement za kishamba Hizo,
Nna 40+ nmechakata wanawake hawapungui 500+ na sijawai ugua hata mkojo mchafu
Hai wamezoea wanwake wa kuokota okota hawajui hata kujiswafi uko chini
Kule sio kwenda peku🙄🙄 Watu noma, kutapisha choo na magonjwa kama hayo ni pumzi na uhai
Hata na ndom sio pa kwenda mzee 🤠🤠🤠 kutapishaa choo sio kabisa, kuwa kama gari takaKule sio kwenda peku
Aisee ngono zembe ni hatari sanaKuanzia mdomoni na usaha juu. Ukicheza unaoza.. Picha za wahanga ukiangalia hadi utaogopa..
Tuishi tuHata na ndom sio pa kwenda mzee 🤠🤠🤠 kutapishaa choo sio kabisa, kuwa kama gari taka