Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Mamaeee nakumbuka siku nliowahi kupita rough road, baada ya siku 5 usiku wake naona kama vimaji maji vya njano vinanitoka, nikaingia Google na JF kutizama hil ni tatizo gani mara nikajiuliza au gono hili, asubuhi yake chap nikaenda dispensary kupima kama ni gono, nurse akanipima UTI na gonorrhea.

Majibu yakaja sina gono ila nina UTI nyingi, nikasema duuh ile ya kuchomeka tu na kutoa ndio UTI yote hii.
Nikaandikiwa na dawa nikawa natumia kwa muda wa siku tano, usaha unazidi kutoka tu.

Nikachukua dozi nyengine ushaha unazuia, dozi ukiisha usaha pale pale.
Nikikojoa mkojo unagawana njia, nikisimamisha mashine inauma kama inatogwa na sindano.

Nikasema hapa safari hii imekula kwangu.

Nikawa nakunywa maji mengi kama sina akili vizuri ili ku flush wale bacteria wa E.Coli ngoma ipo pale pale.
Nlidumu na tatizo hilo kwa muda wa miezi 6, ilikuwa ukitumia dawa linakupa moyo ukimaliza dozi ukikaa siku mbili tatizo linajirudia pale pale.

Mpk kuna dawa moja ya kijani jina nimeishasau ndio iliyonisaidia ndio tatizo la muasho na maumivu wakati wa kudindisha ndio iliyonisaidia.
Baada ya mda kupita ndio mkojo ukawa katika njia yake ya stream line.

Wakuu ogopeni sana rough road.
Rough road si ndio shimo la taka? Kule sio mazeee,
 
Mwaka 2006 kuna mwanangu mmoja alipata Syphilis ikapelekea hadi kupata vipele fulani vyenye usaha kichwani. Kuna rafiki yetu ni daktari alikuwa anaenda kumchoma sindano home kwake, jamaa alikuwa analia kama mtoto na kugalagala chini akisema zinauma sana. Bahati mbaya sasa, binti aliyempa ule ugonjwa alikuwa anatokea ushuani yani, pisi kali kwelikweli.

Kuna mwanangu mwingine alipata gono, bahati mbaya sana mke wake akafahamu akaja kulalamika kwetu akitishia talaka. Jamaa anaumwa, mke kakazana amtaje huyo mwanamke aliyelala naye. Akatishia kuyapeleka kwa wazazi. Binti aliyempa ule ugonjwa ni mzuri na huwezi hata kumdhania aisee. Ilikuwa ni balaa juu ya balaa...

Baada ya haya matukio kutokea, niliamini kwamba Looks can be deceptive....
Ukihangaika sana na hawa mabinti unaweza hata ukapata matatizo na mikosi tu....
Tombenii malaya nyie ili msipate magonjwa.
 
Sio kama mafua,yaan hata wao wanaamin ni magonjwa hatar,ila wanaamin kama hujawah kuyaugua ina maana wewe ni mwoga sana na mbususu hujazila vya kutosha
Statement za kishamba Hizo,

Nna 40+ nmechakata wanawake hawapungui 500+ na sijawai ugua hata mkojo mchafu

Hai wamezoea wanwake wa kuokota okota hawajui hata kujiswafi uko chini
 
Back
Top Bottom