AccomplishedEntrepreneur
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 507
- 878
Inakuaje mkuu? Majibu una yainterpret aje? Nipe signs kaka mie nisie mzoefu just in case....Ukilala na mwanamke mwenyw Gono kesho yake asubuhi majibu ushayapataa...!! Ubaya aliekupaa hata hajui kama anaumwaa wadada wanauwezo wa kuishi na gonoo miaka kibao..
Dawa Piga Ceftriaxone 2gm stat... Alafu malizia Azuma 1x1 kwa siku 6..!!
Usirudie kugongaa manzi aliekupaa gonoo maana utajua hujuii..
Dudu inawashaa...inaanza kunatia kwenye boxer viusahaa vinatokaa...ukikojoaa mkojo unkuwa kama unachoma choma sana.Inakuaje mkuu? Majibu una yainterpret aje? Nipe signs kaka mie nisie mzoefu just in case....
Baadae unakua normal au hali inaprogress to worse?Dudu inawashaa...inaanza kunatia kwenye boxer viusahaa vinatokaa...ukikojoaa mkojo unkuwa kama unachoma choma sana.
yaah huwa inajionesha mapema san gono...labda syphills kidogo inaweza kuchelewa usipojitibiaa inakuwa worse aiseeBaadae unakua normal au hali inaprogress to worse?
That means if in 3 days up to two weeks after doing it raw, kama haujapata sign yoyote means bado haujawa successfully connected etiii
Mkojo unakua unachoma choma hali hiyo ni bearable au so so painful? Ni at some points au throughout whole urinating event
Mkuu umeruka saa ngapi toka kutema nondo za Jupiter na Saturn hadi hukoMzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.
Tujiepusheni na ngono zembe!
Ulipoteaga wapi wewe tiss uchwaraWewe tapeli upo
Nilikumbana wa UTI lakini alipokuja aliniambia sijui kaenda choo gani ana UTI anawashwa sana, kwa vile siku nyingi nikaamua kula asubuhi nikaoni mbona sio kawaida nikawa duka la dawa ikanitulizaYaani ukihudumia PIS CAL 10 katika vipimo vya Mkojo 90% wana U.T.I conc..au PID(Pelvic Inflammatory Diseases)yaani wanatumiza sana..hawa viumbe ni watunzaji wa haya magonjwa sna
Naona gonno limekufunza wakati mwingine jifunze kutoka na wanawake wanaojielewa, sio kila mwanamke ni wa kulala naeUlipoteaga wapi wewe tiss uchwara
Herpes ni dubwana kubwa lisiloimbwa ila lina hatari mno..Mademu wa Tabata wana gono na uti, kuna herpes ila haya magonjwa achaneni nayo tu
Kuna vitu viko serious ila havipewi uzito.Herpes ni dubwana kubwa lisiloimbwa ila lina hatari mno..
nikika kuwa Mfalme nitakuita nikupe cheo cha u "Sir" na nyota za kijeshi juuUkipata manzi anakupenda kwel anakwambia ukwel me nilipata bahati hyo kidemu kikanambia kwel kimenasa Kaswende kiliniomba sana usiniache nakukubali sana sitaki nikufiche mambo yaliyonikuta nikakisaidia japo ilikuwa kwenye hatua mbaya nkaishi nacho hvyohvyo kibishi.
Ongeza na genital warts hapo, unakuta dushelele lina tunundu nundu hadi raha ya tendo inapoteaKuna vitu viko serious ila havipewi uzito.
HPV /HSV ni Virus huponi utatembea na hizo virus milele na kuna mda vina recur
Tatizo binadamu wa sikuhizi sio waoga, ngono imewekwa mbele mno
duh pole mkuu najua niweweKuna mgonjwa niliowai kwenda kumuona alikuwa mtu wa totoz ila alishafariki..Aisee!!! Uume umelika kama ufutio ana vidonda kibao akikojoa analia maumivu vidonda haviponi kuvaa nguo haweza anatakiwa apigwe na baridi ndo anapata afueni..
Ila ndo mkome.
Muda mwingine na wao wanafaa kufarijiwa kuliko kejelnikika kuwa Mfalme nitakuita nikupe cheo cha u "Sir" na nyota za kijeshi juu
Genital warts ndio inasababishwa na Human papilloma virus (HPV)Ongeza na genital warts hapo, unakuta dushelele lina tunundu nundu hadi raha ya tendo inapotea
Exactly, you are a doc by proffesional!?Genital warts ndio inasababishwa na Human papilloma virus (HPV)