Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Kuna vitu vinaogopeshaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Bora nitulize mshonoo hakyamungu mbona hatariiii hizii!!
Kapicha pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Teh!!!

Kwema lakini mkuu
 
Mamaeee nakumbuka siku nliowahi kupita rough road, baada ya siku 5 usiku wake naona kama vimaji maji vya njano vinanitoka, nikaingia Google na JF kutizama hil ni tatizo gani mara nikajiuliza au gono hili, asubuhi yake chap nikaenda dispensary kupima kama ni gono, nurse akanipima UTI na gonorrhea.

Majibu yakaja sina gono ila nina UTI nyingi, nikasema duuh ile ya kuchomeka tu na kutoa ndio UTI yote hii.
Nikaandikiwa na dawa nikawa natumia kwa muda wa siku tano, usaha unazidi kutoka tu.

Nikachukua dozi nyengine ushaha unazuia, dozi ukiisha usaha pale pale.
Nikikojoa mkojo unagawana njia, nikisimamisha mashine inauma kama inatogwa na sindano.

Nikasema hapa safari hii imekula kwangu.

Nikawa nakunywa maji mengi kama sina akili vizuri ili ku flush wale bacteria wa E.Coli ngoma ipo pale pale.
Nlidumu na tatizo hilo kwa muda wa miezi 6, ilikuwa ukitumia dawa linakupa moyo ukimaliza dozi ukikaa siku mbili tatizo linajirudia pale pale.

Mpk kuna dawa moja ya kijani jina nimeishasau ndio iliyonisaidia ndio tatizo la muasho na maumivu wakati wa kudindisha ndio iliyonisaidia.
Baada ya mda kupita ndio mkojo ukawa katika njia yake ya stream line.

Wakuu ogopeni sana rough road.
 
Dah hatari

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu vinaogopeshaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Bora nitulize mshonoo hakyamungu mbona hatariiii hizii!!
Kapicha pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Halafu syphilis yani haina siri ukiumwa unatoka mapele mwili mzima ukijifanya nunda unaanza vimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ugonjwa ni wazamanj sana hapa duniani umeanza rekodiwa miaka 4000 iliyopita
 
Aiseeehhh!!
 
Back
Top Bottom