A Akatanyukwilwe Member Joined Aug 1, 2014 Posts 34 Reaction score 14 Sep 24, 2014 #1 Wapendwa naomba kujua kama ugonjwa wa kaswende (syphilis) unaweza sababisha mwanamke kutokupata ujauzito? Je ni matibabu gani huu ugonjwa unatibikaje?
Wapendwa naomba kujua kama ugonjwa wa kaswende (syphilis) unaweza sababisha mwanamke kutokupata ujauzito? Je ni matibabu gani huu ugonjwa unatibikaje?
veronica.kyamba Senior Member Joined Sep 21, 2014 Posts 148 Reaction score 37 Sep 24, 2014 #2 nenda hospital ukamuone dr akupe maelezo vizuri
A Akatanyukwilwe Member Joined Aug 1, 2014 Posts 34 Reaction score 14 Sep 24, 2014 Thread starter #3 Asante veronica. Lakini najua hata humu ndani kuna madaktari. Alafu pia kuna watu wengine humu ndani yashawakuta hivyo wana uzoefu.
Asante veronica. Lakini najua hata humu ndani kuna madaktari. Alafu pia kuna watu wengine humu ndani yashawakuta hivyo wana uzoefu.