Kaswende (syphilis) inaweza kusababisha mwanamke kutokupata mimba?

Kaswende (syphilis) inaweza kusababisha mwanamke kutokupata mimba?

Joined
Aug 1, 2014
Posts
34
Reaction score
14
Wapendwa naomba kujua kama ugonjwa wa kaswende (syphilis) unaweza sababisha mwanamke kutokupata ujauzito? Je ni matibabu gani huu ugonjwa unatibikaje?
 
Asante veronica. Lakini najua hata humu ndani kuna madaktari. Alafu pia kuna watu wengine humu ndani yashawakuta hivyo wana uzoefu.
 
Back
Top Bottom