Kaswende

Kaswende

Tabora kwetu

Senior Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
187
Reaction score
51
Ugonjwa wa KASWENDE huchukua muda gani mpaka kuonesha dalili? Msada tafadhari mwenye UELEWA HUO ANISAIDIE. Asante
 
ukimaliza kupima kaswende pima na ngoma kabisa we una kazi ya kungonoka bila kutumia kiatu unategemea nini?
 
Naona MNANIVAA! sema dalili huchukua MUDA GAN? mko nje ya Mada! kifupi mimi ni MZIMA "FREE FROM ANY DISEASES!"
 
Back
Top Bottom