Kwa iyo kimoja tu kinatosha? Na chumban tu au na seblenKitunguu hiki ni cha dawa sio kitunguu maji cha kuliwa utakavyo kikata na kukimenya na kukiweka ndani ya chumba hakifai tena kuliwa unakiweka ndani ya chumba unacho lala ili kipate kuuwa Bacteria waliopo chumbani mwako unapo lala. unaweza kukiweka siku 7 kisha unakitupa.
Acha au epuka kuandamana.naomba dawa ya kupambana na mizinga
[emoji15] [emoji15] Kuna ukwel hapa?Kata Chungwa nusu, chomeka vikarafuu kwa wingi.
Hutoona mbu.
Hutumia kwa usiku mmoja tu.
Nimekushindwa tabia mpenzisahv vimepanda bei vikishuka tutanunua tueke chumbn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pambana na hali yakoVipi dawa ya kupambana na kunguni jaman
Kitunguu Maji kimoja kikate nusu kiweke chumbani na kingine nusu kiweke sebuleni kinatosha.Kwa iyo kimoja tu kinatosha? Na chumban tu au na seblen
Jaribu. Even I, nilikuwa siamini. Niliamini tulipojaribu. Nahisi mbu hukimbia emission ya changanyiko wa Chungwa na karafuu.[emoji15] [emoji15] Kuna ukwel hapa?
Choma nyumbaVipi dawa ya kupambana na kunguni jaman
Wacha wampe kipondo[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pambana na hali yako
Habari, vipi umejaribu ile dawa ya Mbu , matokeo yapojeNgoja nikaijaribu hii.