Kata kitunguu maji na uweke ndani ya chumba chako

Kata kitunguu maji na uweke ndani ya chumba chako

Kitunguu hiki ni cha dawa sio kitunguu maji cha kuliwa utakavyo kikata na kukimenya na kukiweka ndani ya chumba hakifai tena kuliwa unakiweka ndani ya chumba unacho lala ili kipate kuuwa Bacteria waliopo chumbani mwako unapo lala. unaweza kukiweka siku 7 kisha unakitupa.
Kwa iyo kimoja tu kinatosha? Na chumban tu au na seblen
 
Tamko la Leo mkoa wa Dar kachumbari marufuku kitunguu ni pango la bacteria. Ha ha ha.
 
Back
Top Bottom