Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Joseph Mbilinyi aendelea kuomba kura Mbeya Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii hapa ni Kata ya Maendeleo , Soko Matola

KATA kwa KATA_ Nawashukuru WAKAZI HALISI wa kata ya MAENDELEO, SOKOMATOLA...MKUT ( 335 X 640 ).jpg
 
Nilikutana nae juzi dar, tuliongea na nimemuelewa. Changamoto iliyopo na aliyosema ni jinsi ya kutangazwa, kuna hatihati matokeo yakapinduliwa na nilivyoona ni kama hana la kufanya kama hilo likitokea. Pole sugu
 
Anafanya vizuri.. kuwaaga wananchi.. alowakilisha.. maana angekuwa amefanya mazuri ya kubafurahisha.. angepita kuwapogia muziki wake tu..

Nawapa pole mapemaaaa..
 
Nilikutana nae juzi dar, tuliongea na nimemuelewa. Changamoto iliyopo na aliyosema ni jinsi ya kutangazwa, kuna hatihati matokeo yakapinduliwa na nilivyoona ni kama hana la kufanya kama hilo likitokea. Pole sugu
Uliongea naye siyo ! basi hongera !
 
Nilikutana nae juzi dar, tuliongea na nimemuelewa. Changamoto iliyopo na aliyosema ni jinsi ya kutangazwa, kuna hatihati matokeo yakapinduliwa na nilivyoona ni kama hana la kufanya kama hilo likitokea. Pole sugu
Naunga mkono hoja, japo mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, lakini Sugu ni rafiki yangu na nampenda, kama ninavyo mpenda Halima Mdee, ila katika kuleta maendeleo hakuna namna, hakuna jinsi, maendeleo ya kweli ni CCM, maendeleo ni Magufuli, hivyo wana Mbeya na wana Kawe sasa wanataka maendeleo ya kweli, hivyo katika uchaguzi huu, watachagua, maendeleo!.
Pole rafiki Sugu, pole rafiki Halima,
Kwaherini majimboni kwenu!.
P
 
Dr.Tulia vs.Mbilinyi...Patachimbika Mbeya,bado majuma matatu (3) tu!
 
Naunga mkono hoja, japo mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, lakini Sugu ni rafiki yangu na nampenda, kama ninavyo mpenda Halima Mdee, ila katika kuleta maendeleo hakuna namna, hakuna jinsi, maendeleo ya kweli ni CCM, maendeleo ni Magufuli, hivyo wana Mbeya na wana Kawe sasa wanataka maendeleo ya kweli, hivyo katika uchaguzi huu, watachagua, maendeleo!.
Pole rafiki Sugu, pole rafiki Halima,
Kwaherini majimboni kwenu!.
P
Sisi watu wa Mbeya mjini tunajiuliza mbona Mbeya vijijini,Tukuyu nk wametawala CCM toka chama kimoja vywama vingi ni CCM tu lakini maendeleo atuyaoni yakuzidi mbeya mjini na tukilinganisha toka wanatawala wao na wakati wa sugu wakati wa sugu kwakweli tumepiga atua
tulia atulie kwanza
 
sisi watu wa mbeya mjini tunajiuliza mbona mbeya vijijini,tukuyu nk wametawala ccm toka chama kimoja vywamavingi ni ccm tu lakini maendeleo atuyaoni yakuzidi mbeya mjini na tukilinganisha toka wanatawala wao na wakati wa sugu wakati wa sugu kwakweli tumepiga atua
tulia atulie kwanza
Duh...!.
Haya bana siasa za Mbeya...
Sisi huku kwetu Kawe, Bi Dada, hajafanya lolote kwa miaka 10!, kwa kauli moja wana Kawe tumeamua kumpumzisha!.
P
 
Naunga mkono hoja, japo mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM, lakini Sugu ni rafiki yangu na nampenda, kama ninavyo mpenda Halima Mdee, ila katika kuleta maendeleo hakuna namna, hakuna jinsi, maendeleo ya kweli ni CCM, maendeleo ni Magufuli, hivyo wana Mbeya na wana Kawe sasa wanataka maendeleo ya kweli, hivyo katika uchaguzi huu, watachagua, maendeleo!.
Pole rafiki Sugu, pole rafiki Halima,
Kwaherini majimboni kwenu!.
P
Mzee baba..unafukuzia uteuzi nin...mayala aka njaa...si maneno yangu
 
Back
Top Bottom