Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Joseph Mbilinyi aendelea kuomba kura Mbeya Mjini

Mbona huwa nakuona sana Ghana kwa mwasimba.
Kwa Mwasimba ni Nonde. Enzi zile Nonde ilikuwa jamhuri ya kibabe Sana, ya kitemi mno. Mwasimba alishawahi kupandisha bendera yake na akasema Nonde sio Tanzania.
Lilienda Jeshi kumkamata, maana hawa Polisi walikuwa wakifika Itiji One mitaa ya Machinjioni wanapigwa mishale, wanakufa.
Nonde kulikuwa na uchawi mzito Sana.
Mwasimba alikamatwa na rundo la wanajeshi, wakampumzisha siku chache Kisha akarudi Tena mtaani.
Hatukuisikia Tena Wala kuona Tena bendera ya Mwasimba.
 
Hapo eti Tulia anasubiri miujizi ya NEC kutowaruhusu mawakala wa Chadema ili wamuibie kura
 
Kwetu segerea tunaye bona wa ccm,hajafanya chochote pamoja na kuwa chama cha maendeleo kama usemavyo.
bungeni haongei,maendeleo jimboni hakuna,si afadhari halima anaongea bungeni???
au ndo hivyo mkuu umeanza kumusa udisi??
 
Mbeya watamchagua Sugu.. Magufuli atamchagua Tulia kuwa mbunge wa viti maalumu.. Mbeya kuwa na Wabunge wawili.
 
Mkuu mbona sikuoni kwenye kampeni zetu za CCM?

Tumebakiza siku chache mnajiita CCM lakini sikuoni kwenye kampeni sehemu hata moja

Laiti ungeenda hata kumnadi mchungaji Gwajima mlieshindana nae kuonyesha umoja

CCM ni umoja ukishindwa unamnadi aliyeshinda au hukupata barua ya kwenda?
 
Mbeya na Watanzania tunamhitaji Sugu, nae pia ni zaidi ya wapiga meza/ makofi 50 mjengoni.
Wanambeya kama mimi kwa sasa ni tulia Mbeya tunahitaj maendeleo na ndo asili yetu harakati wakafanye Arusha
 
Duh...!.
Haya bana siasa za Mbeya...
Sisi huku kwetu Kawe, Bi Dada, hajafanya lolote kwa miaka 10!, kwa kauli moja wana Kawe tumeamua kumpumzisha!.
P
Hivi wewe unajua kazi ya Mbunge kweli au unagongea kwa mahaba.
Mimi ni Mkazi wa Kawe, ninajua alichofanya Halima na Mungu atambariki sana
Kujenga barabara ni wajibu wa Serikali, kutojenga barabara ni kukimbia wajibu
 
unazeeka vibaya ,mzee mzima unakuwaje mnafki na roho ya kichawi
 
Sugu kapotea sana niko Mbeya namuona Tulia anamkimbiza balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…