Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Sugu aendelea kusonga mbele Mbeya Mjini

Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Sugu aendelea kusonga mbele Mbeya Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
KATA kwa KATA_ NIKIZUNGUMZA na WANANCHI wa KATA ya SINDE leo...Mwenyezi MUNGU ba ( 360 X 640 ).jpg

Hii ni Kata ya Sinde
 
Kuna wabunge hawa wa upinzani wakikosekana Bunge letu tukufu litatunga hata sheria za kodi ya kichwa kwa kila mtanzania ili kuturudisha kwa mkoloni mweusi.
1. MH.SUGU -JOSEPH MBILINYI
2. MH.MSIGWA
3. MH.JOHN HECHE
4. MH.HALIMA MDEE
5. MH.ZUBERI ZITTO KABWE
6. MH MBOWE
7. MH G LEMA
8. MH BWEGE ACHANENI NAE NA UBWEGE WAKE
Nikumbusheni nimemsahau nani haijarishi chama chake?
 
Naona akili inaanza kukurudia
 
Ester Bulaya na Ester Matiko
 
Nilikuwa nampango wa kumpigia kura Betina Hafu urais Lissu. Ila naona hata Betina naenda kumkataa
 
Back
Top Bottom