Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Sugu aendelea kusonga mbele Mbeya Mjini

Kuna wabunge hawa wa upinzani wakikosekana Bunge letu tukufu litatunga hata sheria za kodi ya kichwa kwa kila mtanzania ili kuturudisha kwa mkoloni mweusi.
1. MH.SUGU -JOSEPH MBILINYI
2. MH.MSIGWA
3. MH.JOHN HECHE
4. MH.HALIMA MDEE
5. MH.ZUBERI ZITTO KABWE
6. MH MBOWE
7. MH G LEMA
8. MH BWEGE ACHANENI NAE NA UBWEGE WAKE
Nikumbusheni nimemsahau nani haijarishi chama chake?
 
Naona akili inaanza kukurudia
 
Ester Bulaya na Ester Matiko
 
Nilikuwa nampango wa kumpigia kura Betina Hafu urais Lissu. Ila naona hata Betina naenda kumkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…