Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Lengo la imani, ni kuwafanya watu wawe mambumbu na wasifikiri wala kuhoji; ikumbukwe pia hii ni biashara ya watu; kuwaaminisha watu vinavyosadikika ili wapige hela pamoja na kutimiza malengo yao.
Hujajibu swali nimekuuliza kila unachokiamini ushawahi kukiona acha kuruka ruka
Vipi vitu havihusiani na dini na mnaviamini kwa faida ipi au ya nani?
 
Mkuu,
Usiendelee kubishana, unajivua nguo. Yaani umekubali kuwa jamii ya waislam hawatumii akili ndio maana unasema kujenga kiwanda sio rahisi ni bora kujenga misikiti kweli?
Ww binafisi ambaye hata msikitini hujawahi kukanyaga unamiliki viwanda vingapi mpaka sasa?
Au nyinyi wagaratia wenye akili viwanda mnavyo miliki viko wapie ,mbona %90 ya viwanda vyote vilivyoko ndani ya nchi hii vina milikiwa wa waisilam hao hao?

Acheni chuki za kipumbavu dhidi ya waisilamu ,hivi ndani ya nchi hii kuna watu wenye utitiri wa nyumba za ibada kuliko nyinyi wakrisito?
 
Wakiacha mihemko na mahaba ya kipuuzi wakasoma bandiko lako kwa utulivu kuna namna watajitafakari.
 
Wakiacha mihemko na mahaba ya kipuuzi wakasoma bandiko lako kwa utulivu kuna namna watajitafakari.

Wanaleta chuki tu za kidini za usimba na uyanga . Ila hoja imewaingia wanatapatapa tu
 
Ukisikia laana ndiyo hii, sasa jiulize misikiti yote hii inasaidia nini Watanzania walalahoi washindao misikitini kutwa kucha wakisubiri Mungu awape miujiza. Serikali pia ni ya kulaumiwa hapa, wasiwe wanaruhusu wafadhili kujenga misikiti na makanisa na kufanya wananchi wazidi kuwa wajinga kwa sababu dini siku zote ufanya watu kuwa wajinga wa kutupwa, angalieni Wazanzibari kwa mfano.
 
Kama unataka Kiwanda kajenge wewe. Usiwapangie watu kitu cha kufanya.
 
Aiseeeeee
 
Mwarabu jukumu lake kubwa na kutengeneza mazombie na wala sio kutengeneza wanadamu wanajielewa.
 
Ndugu yangu hawafanyi hivyo kwa bahat mbaya ipo agenda ambayo imejificha sana Tuombe Mungu atusaidie
 
Nitakuja kujenga siku moja. Watu wapate ajira. Sio ujinga wa kujenga nyumba za ibada tu huku waumini wana njaa hawana ajira
mtu ana hela zake anaamua kuwekeza ktk kitu fulani bado unamuona mjinga??? remind you hela ni zake sio za serikali wala zako NI ZAKE

watu kufa njaa sio tatizo la muwekezaji ni serikali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…