Ndagullachrles JF-Expert Member Joined Jun 20, 2023 Posts 256 Reaction score 259 Sep 20, 2026 #1 Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae Attachments Mhe. haji fundi haji.mp4 81 MB
Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 12,104 Reaction score 16,477 Sep 20, 2026 #2 Tapeli mwenzangu huyu
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Sep 21, 2026 #3 Huo ni uongo
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,923 Reaction score 40,246 Sep 21, 2026 #4 Kariakoo kwa context gani?