Kata ya dakawa morogoro

Kata ya dakawa morogoro

2011

Senior Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
164
Reaction score
146
Habar wanajf
Napenda kufahamishwa mazingira ya hii kata ya dakawa morogoro kiutafutaji.
Napanga kuhamia hapo ila si mbaya nikapata machache km vile huduma za kijamii upatikanaji wake,
Binafsi nina bajaji guta ambalo ni nyenzo ya uchumi nikiwa huko.
Kwa mtu aleko dakawa au ana uzoefu si vibaya akanipa mawili matatu .
#
#Maisha ni vita vikali. Ahsanteni
 
Miniliwahi kuharibikiwa ndiga pale Bwawani ikabidi niagize spare kutoka Morogoro, ilinibidi nilale pale lakini sikulala pekeyangu...😊
Ngoja waje wakupe A'B'C mkuu
 
Miniliwahi kuharibikiwa ndiga pale Bwawani ikabidi niagize spare kutoka Morogoro, ilinibidi nilale pale lakini sikulala pekeyangu...😊
Ngoja waje wakupe A'B'C mkuu
ulilala na nan mkuu
 
Back
Top Bottom