A
Anonymous
Guest
Awali niliandika kuwa Barabara ya iliyopo Jiji la Mwanza, Wilaya ya Nyamagana, Kata ya Kishiri, eneo la Mtaa wa Mnazi Mmoja kuelekea Bukaga ni mbaya sana na inatakiwa maboresho tunashukuru Mungu imerekebishwa, mamlaka husika zimefika na kurekebisha, changamoto iliyobaki ni maboresho ya madaraja tu.
Pia soma ~ Mwanza: Kata ya Kishiri, eneo la Mtaa wa Mnazi Mmoja kuelekea Bukaga barabara ni mbaya sana
Pia soma ~ Mwanza: Kata ya Kishiri, eneo la Mtaa wa Mnazi Mmoja kuelekea Bukaga barabara ni mbaya sana