Elections 2010 Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya

Elections 2010 Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya

Matokeo tayari!???? usiniache niagize kreti na mbuzi nusu hapa
Kuanzia sasa hivi sibanduki JF ni kwa lengo moja tu Updates za uhakika kwa hiyo huyu jamaa asituzigue matokeo yanaweza kuanza kupatika kuanzia saa kumbi na kuendelea
 
Ccm haina chake nchi hii,mabavu ya majeshi tu ndio msaada mkubwa kwao.
Hata jeshi ni kwa heshima ya uoga na nidhamu ya uoga ukitaka uamini hilofatilia matokeo ya kambi za jeshi nani alisongozwa kwenye vituo hivyo mwaka 2010...
 
Laptop yangu hiko full charge, Wi-fi hiko full. Naangalia F1 (India) na kusubiri matokeo ya udiwani. Ratiba ya Siku imeshapangwa tayari.
 
Kuanzia sasa hivi sibanduki JF ni kwa lengo moja tu Updates za uhakika kwa hiyo huyu jamaa asituzigue matokeo yanaweza kuanza kupatika kuanzia saa kumbi na kuendelea

Kura huanza kuhesabiwa baada ya zoezi la kupiga kura kufungwa, inawezakana hadi saa 12 ndipo masanduku ya kura yafunguliwe, kama ni saa kumi huenda ikawa mapema mno huenda wengine walikuwa hawajafika kupiga kura kwa sababu ya kuwajibika.

Kama kura zingepigwa kwa computer hapo ni kitu kingine kwani kila inayoingia inaweza kuonyesha matoke
 
Laptop yangu hiko full charge, Wi-fi hiko full. Naangalia F1 (India) na kusubiri matokeo ya udiwani. Ratiba ya Siku imeshapangwa tayari.
Agiza na kitu bariiiidi maana mabo siyo mambaya tutawakimbisa tu hawa magamba...
 
Kura huanza kuhesabiwa baada ya zoezi la kupiga kura kufungwa, inawezakana hadi saa 12 ndipo masanduku ya kura yafunguliwe, kama ni saa kumi huenda ikawa mapema mno huenda wengine walikuwa hawajafika kupiga kura kwa sababu ya kuwajibika.

Kama kura zingepigwa kwa computer hapo ni kitu kingine kwani kila inayoingia inaweza kuonyesha matoke
Hapana mkuu kwa uchaguzi wa diwani nini uhakika ikishafungwa hiyo saa 10 hakutakuwa na msururu mrefu na kila mtu akiingia haichukui dakika dakika 5 na ikumbukwe kata zima wapiga kura hawazidi 5200 kama sikosei nikuhakikishei matokeo ya vituo tutayapata kuanzia saa kumi na moja na mpaka saa kumni na mbili au saa mja matokeo ya jumla tutakuwa tumesha yapata na tume wakizingua chadema tuna tume yetu tutajumlisha na kutangaza matokeo siyo muda wa kulialia huu...
 
Wow, sound good, maana yake Chadema kuzichuku ni kuizidi kuitupitilia mbali CCM ndani ya Arusha City limit.
Moja ndiyo iko Arusha mjini na moja iko Arumeru magharibi lakini kwavyovyote vile ushindi wa chadema kwenye kata hivyo ni pigo kubwa kwa CCM...kata nyingi ambao uchaguzi wake unafanyika leo nyingi zilikuwa cha CCMabwepande
 
vipi jamani kata zingine, kanda ya ziwa, bagamoyo, tabora, morogoro misho vijijini, mambo yapoje updates please!~
 
Natumaini wananchi watafanya kweli kwa kuipiga chini CCM. Vipi uchaguzi wa udiwani kata za Themi, Kimandolu na Kaloleni haurudiwi?
 
CHADEMA wakishinda kuanzia kata 15 nakesha bar kunywa safari bariiidi na kitimoto usiku mzima.
 
Nimezunguka kwenye kata mbili, Daraja mbili- Arusha mjiji na Bangata-Arumeru Magharibi. Tangu Asubuhi watu wamemiminika vituoni na katika Hali ya kutaharuki ccm walitaka kuwafanyia vurugu Lema na Nassari lakini wananchi wakaingilia Kati, Wafuasi kadhaa aw ccm wamepigwa. Kwa Kweli Hali ya ccm ni mbaya to the extent kwamba ole Medeye amepita kanisani kuomba kura Leo. Kama mwenendo ndio huu CDM watashinda kata zote mbili.

Ashukuriwe Mungu milele
 
Back
Top Bottom