KERO Kata za Kikio na Misughaa, mnara wa TTCL unatumia mitambo ya umeme wa jua nakupelekea usiku mawasiliano kukata

KERO Kata za Kikio na Misughaa, mnara wa TTCL unatumia mitambo ya umeme wa jua nakupelekea usiku mawasiliano kukata

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jan 30, 2024
Posts
7
Reaction score
0
Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida.

Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu.

Ni zaidi ya kero unakuta usiku mawasiliano yanakata mpaka kesho tena jua liwake.

Naomba mamlaka husika ziweke nishati yenye nguvu katika mnara ili uwe unafanya kazi masaa yote.Asante
 
Back
Top Bottom