Bila Simba na Yanga nazani Watanzania wengi wangepata stroke sababu pekee kubwa vyama hivi vimeumiza sana watu.Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga.
Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake.
Kwa sasa wa Tanzania wako busy na Simba na Yanga kuliko hat ana Ajenda kubwa za KI Taifa, Mfano uuzwaji wa Bandari, mambo ya kihuni yanayotokea katika chaguzi zetu nk
Nimefurahi sana Bodi ya Ligi kupitia TFF ilivyoahirisha game ya Yanga na Simba, Ma Shabiki wa Yanga kwa sasa wapo wanahaha kumtafuta Mchawi wao, bado hata hawaelewi kuwa Mchawi wao ni CCM, Kupitia kuahirishwa kihuni kwa Derby, kama wana Yanga hawatajua kuwa Mchawi Mkuu ni CCM basi hawatokaa wajue Milele.
Nitoe rai kwa wa Tanzania wote tuachane na ushabiki wa Simba na Yanga, unatupumbaza kushindwa kufuatilia Mambo ya Msingi yanayoikabili nchi yetu
Mchawi wao ni viongozi wa TFF ambao wanataka kulitumia Jambo hili ki siasa kuficha maovu yao, na kujifanya wamefanya hili ili kuikomboa ccm na uchaguzi unaokujaMoja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga.
Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake.
Kwa sasa wa Tanzania wako busy na Simba na Yanga kuliko hat ana Ajenda kubwa za KI Taifa, Mfano uuzwaji wa Bandari, mambo ya kihuni yanayotokea katika chaguzi zetu nk
Nimefurahi sana Bodi ya Ligi kupitia TFF ilivyoahirisha game ya Yanga na Simba, Ma Shabiki wa Yanga kwa sasa wapo wanahaha kumtafuta Mchawi wao, bado hata hawaelewi kuwa Mchawi wao ni CCM, Kupitia kuahirishwa kihuni kwa Derby, kama wana Yanga hawatajua kuwa Mchawi Mkuu ni CCM basi hawatokaa wajue Milele.
Nitoe rai kwa wa Tanzania wote tuachane na ushabiki wa Simba na Yanga, unatupumbaza kushindwa kufuatilia Mambo ya Msingi yanayoikabili nchi yetu
HIi hakuna kitu itasaidia kuleta mabadilikoMoja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga.
Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake.
Kwa sasa wa Tanzania wako busy na Simba na Yanga kuliko hat ana Ajenda kubwa za KI Taifa, Mfano uuzwaji wa Bandari, mambo ya kihuni yanayotokea katika chaguzi zetu nk
Nimefurahi sana Bodi ya Ligi kupitia TFF ilivyoahirisha game ya Yanga na Simba, Ma Shabiki wa Yanga kwa sasa wapo wanahaha kumtafuta Mchawi wao, bado hata hawaelewi kuwa Mchawi wao ni CCM, Kupitia kuahirishwa kihuni kwa Derby, kama wana Yanga hawatajua kuwa Mchawi Mkuu ni CCM basi hawatokaa wajue Milele.
Nitoe rai kwa wa Tanzania wote tuachane na ushabiki wa Simba na Yanga, unatupumbaza kushindwa kufuatilia Mambo ya Msingi yanayoikabili nchi yetu
Ni dhana mufu na haina mashiko, Utawezaje kumwambia mtu akatae hisia kutoka nafsini mwake? Yanga na Simba mapenzi nayo yanajengwa kutoka nafsi mwake. Vyama vya Siasa sawa unaweza kubadili, ssbabu vinaambatana na maslahi ya kifedha . Lakini Yana Simba ni faraja ya nafsi tu.Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga.