The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Mara ya kwanza naona chawa nae anakosoa kumbe maovu ya vyombo vya serikali hua yanawakuta na machawa ?! Hii ni ajabu nimeshangaa na kufurahi kwa wakati mmoja, ebo !!Naunga mkono hoja zote.
Police anakututia kwenye kitanzi halafu anakaa pembeni anakukonekti na polisi wengine interm ya kukusaidia kumbe unali
Familia za hawa machawa wengi , ndio wahanga wakubwa wa huu mfumo..lakini kutokana na ubinafsi wa hawa machawa , wako tayari kuimba mapambio kusifia serikali ilihali hata ndugu zao wanaumiaMara ya kwanza naona chawa nae anakosoa kumbe maovu ya vyombo vya serikali hua yanawakuta na machawa ?! Hii ni ajabu nimeshangaa na kufurahi kwa wakati mmoja, ebo !!
Wakati wa maandamano ya 20/10 kuna mke sijui mume wa likada chawa kindakindaki aliuawa cha ajabu mfiwa akawa anasimulia kua gari ilisimamishwa baada ya kusimama askari wakamimina risasi cha ajabu anamalizia kwa kuishukuru serikali kwa amani ndio nikajua machawa hua ni mamtu MAJINGA sanaFamilia za hawa machawa wengi , ndio wahanga wakubwa wa huu mfumo..lakini kutokana na ubinafsi wa hawa machawa , wako tayari kuimba mapambio kusifia serikali ilihali hata ndugu zao wanaumia
Jamaa hawana akili kabisaWakati wa maandamano ya 20/10 kuna mke sijui mume wa likada chawa kindakindaki aliuawa cha ajabu mfiwa akawa anasimulia kua gari ilisimamishwa baada ya kusimama askari wakamimina risasi cha ajabu anamalizia kwa kuishukuru serikali kwa amani ndio nikajua machawa hua ni mamtu MAJINGA sana