cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Uongo mtupuupolisi hawanashida kabisa ni watu makini sana
Uongo mtupuupolisi hawanashida kabisa ni watu makini sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja ni mpwa wangu kabisa mtoto wa dada yangu nimemuambia sitampigia simu kabisa, sitaki shida na taabu, maadamu yu hai abaki hukohuko kazini kwake, simu ya taarifa muhimu atapigiwa na wengine
Sqikolonia [emoji777] Saikolojia [emoji736].Ki sqikolojia ya mitaani, mtu wenye urafiki sana na mapolisi huwa ana siri za kiuhalifu. Aidha wao p9lisi na huyo rafiki yake, ni wahalifu na wanafahamiana vilivyo. Au mmoja wao, raia, ni "informer" ambae anatumiwa na polisi.
Sio kucheza na nyoka inaeleweka chatu hana sumu ndio maana namna yake ya kupata msosi ni kupitia constriction tofauti na venomous snakes ambao wanatumia ku-inject venom kwenye windo mawindo yao.Kilaza kama wewe huyajui hayo,hata nyoka wana akili kuliko weweUmeelewa ulichokiandika au ndio ilikuwa papara ya kujionyesha kuwa wewe unajua hasa kuchezea nyoka.
Kuna watu nawajua wameshapigan na trafic barabaran mwish wa siku wanawekwa ndan na kupelekwa mahakaman na kupigwa faini ila baada ya apo heshim inafuata mkondo wake siku nyengin ata amkute na kosa gan hamulizi kituNaunga mkono hoja ukiwa mnyonge ndio wanakunyoosha. Fanya kama ya hamza ikiwezekana ili kuweka heshima.
Polisi wenyewe ndio vinara wa kuhubiri chuki kwa kupitia vitendo vyao viovu na kufanya uhalifu mbaya dhidi ya raia wema.Tupunguze kuhubir chuki
Polis wabaya wapo na wazuri wapo adui yangu sio mpaka awe adui yako,
Mimi nagonga liwalo na liwe, naachaje sasa tako lainiHawa ni mbwa wakiambiwa shika wanashika wakiambiwa acha wanaacha.Kiufipi polisi wote ni mbwa hawafai hata kwakurumagia.
Hata polisi wakike awe na sura nzuri kiasi gani au tako kiasi gani sigongi.
hawa mbwa takataka.
Je mfanyabiashara ya madini alikwiba nini labda?Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Jichunge sana, wakati wa kuutupa au kusimamia kucha wengine si mnalewaga kama pombe, unakojoa huku ukiungama dhambi zako ama kutukana, utakwenda na maji.Mimi nagonga liwalo na liwe, naachaje sasa tako laini
Ya Tpdf yamefikaje hapa?Polisi ni binadam kama watu wa kada nyingine kuna wabaya na wazuri kuna bongo lala na wenye akili nzuri
Nawajua baadhi askari wenye uweledi wa hali ya juu
Kwan nyie hamjawahi kutanana na TPDF mshamba na ni mjinga?
Nioneshe Thread ilipoonesha ukomo wa maoniYa Tpdf yamefikaje hapa?
Kama una hamu nao, waundie thread bhana.
Mbona mada mnaisongesha kishabiki sana?
Maoni yana wigo.Nioneshe Thread ilipoonesha ukomo wa maoni
unajua slogan ya JF?Maoni yana wigo.
Mfano tunaongelea elimu, wewe unaingiza biashara, hauwezi kueleweka kimantiki.
Hapa tucheze na Polisi tuu, tuki'double cross' mada itakosa mvuto ama tutaonekana kamaa pro police wanufaika.
Mkuu hawa siyo watu! Wanavyotupaga adhabu wakitukamata na sisi tuwape adhabu dada zao hivyo hivyo! Kuna RPC mmoja nilimkosakosa angesimulia!!Haaaahaaaa we jamaa
Mtoa mada inaonekana unao chuki yako binafsi na hawa polici wa tz. Lakini hadi umemaliza andiko lako ujasema wala kutaja sababu zako za msingi za kutukataza tusiewe na uhusiano nao. Ww kama unazoki zako binafsi usituhusishe. Ukifanya vibaya au mjuaji lazma ujuane na wababe kama ww. Polici ni binadamu kama sisi. tunaenshi nao kwa wema na adabu. Hadi wakati mwengine tunawahibia wake zao. Na tunakula vyema nao.Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .
#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI