Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,343
Au sio
Uko sahihi, naheshimu sana maoni yako lakini katika uzao wangu ni laana kuuu mtoto wangu kuwa mtumishi wa jeshi la polisi TzMkuu nafikri utakuwa huwatendei haki watoto wako. Kama wana elimu yao nzuri waache wachukue tu hizo kazi ila kikubwa Sisi familia Tujitahidi kutoa maelezo Bora kwa watoto wetu wathamini utu ili hata wakipata hizo kazi watende haki, wakimtanguliza Mungu! Pamoja na uozo lakini wapo na Mapolisi wazuri pia!
SafiNaunga hoja hawa jamaa miyeyusho sana nakumbuka kuna polis alikuwa ana force mazoea kwenye mishe zangu mara nipe elfu10 mara 20 mwisho wa siku mimi sipati maslai yoyote wanatumia upolisi kama fimbo kutuchapia nilimpiga chini akaanza kuniletea visaa ila nilimmudu
Hahahahha unahis kumshughulikia vzr ndio utaharib mipango yake?Kama unamshughulikia vizuri hata hizo nguvu za kumsaka jambazi azipate wapi sheikh ?
Matumizi mabaya ya jina letu "mjeda" hilo ni jina letu wana KJ sio la hao wahuniKuna demu mmoja mjeda (police) kanizimikia balaa, unataka kuniambiaje weye.!! alinikamata kosa la barabarani kutoka hapo yaani nataka kuoa kabisa kabisa maana si kwa mambo yale aisee !!
Uko sawaPolisi siyo mjeda bhana mjeda ni askari wa TPDF ( jwtz)
Uneingia chaka chaka chatu ana sumu?Kunywa soda kwa mangi nakuja kulipa.
Umeongea kweli tupu.
Polisi wa TZ ni sawa na chatu mwenye sumu kali.
Umeelewa ulichokiandika au ndio ilikuwa papara ya kujionyesha kuwa wewe unajua hasa kuchezea nyoka.Uneingia chaka chaka chatu ana sumu?
Hili siyo suluhisho kabisa.Kuepuka yote haya ni vyema samia awaone kwa jicho la huruma kuwaboreshea mazungira ya kazi na maslah Kwan polis wanafany Kaz kubwa kuliko malipo Yao na hawana mda wa kudeal na side hustle
Wanaokosoa serikali ni wengi ila wanaokamatwa ni wachache.unadhani ni kwanini???Kama wewe ni raia mwema huwezi kuogopa Polisi! Unachotakiwa ni kujiunga na Kwaya ya kumsifu na kumwabudu Rais!
Huwezi kaa kimya! Hapo hutamwona Polisi akikusogelea!
Huna tofauti na anayepata uvamizi wa kunguni ndani kwake,akaamua kumwaga maji ya moto ktk kila anapodhani wanapatikana.kisha kupuuza kutafiti walifikaje ndani kwake,keshokutwa anawaleta tena.Hili siyo suluhisho kabisa.
Suluhisho pekee kwa tatizo hili Sasa ni kulivunja kabisa Jeshi la Polisi lote lililopo hivi Sasa, kuwachukulia hatua kali za kisheria Askari Polisi wote waliohusika ktk uvunjifu mkubwa sana wa Sheria za nchi pamoja na kukiuka HAKI za binadamu (grave human rights Violation), na kisha kuliunda tena upya Jeshi la Polisi lote. Askari Polisi wale tu watakaothibitika kuwa ni wasafi na waadilifu ndio wanapaswa kurudishwa kazini, Askari Polisi wengine wote ambao ni 'Wachafu' wanapaswa kutimuliwa kazi moja kwa moja bila huruma.
Aidha, Katiba ya nchi pamoja na Sheria zilizopo sasa pia zinapaswa kubadilishwa ili kuondokana na Sheria kandamizi zilizopo ambazo zinawapa mamlaka Polisi kuvunja HAKI za binadamu bila ya kuweza kuwajibishwa kisheria.
100%Naunga hoja hawa jamaa miyeyusho sana nakumbuka kuna polis alikuwa ana force mazoea kwenye mishe zangu mara nipe elfu10 mara 20 mwisho wa siku mimi sipati maslai yoyote wanatumia upolisi kama fimbo kutuchapia nilimpiga chini akaanza kuniletea visaa ila nilimmudu
Uongo mkubwa sana huu. Askari Polisi ambao ni WAOVU na WAHALIFU ni wengi zaidi kuliko walio wasafi. Mbaya zaidi sana ni kuwa Polisi ambao ni Waovu na Wahalifu wengi wao ni wale wenye nyadhifa za juu kiasi cha kulifanya Jeshi la Polisi lote kuonekana kuwa ni Kama Genge la Wahalifu.Huna tofauti na anayepata uvamizi wa kunguni ndani kwake,akaamua kumwaga maji ya moto ktk kila anapodhani wanapatikana.kisha kupuuza kutafiti walifikaje ndani kwake,keshokutwa anawaleta tena.
Police wahalifu wapo wengi tu,ila hawazidi idadi ya waadilifu,unafumua jeshi zima uunde upya badala tu ya kurekebisha sheria!!!
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .
#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI