Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Uongo mkubwa sana huu. Askari Polisi ambao ni WAOVU na WAHALIFU ni wengi zaidi kuliko walio wasafi. Mbaya zaidi sana ni kuwa Polisi ambao ni Waovu na Wahalifu wengi wao ni wale wenye nyadhifa za juu kiasi cha kulifanya Jeshi la Polisi lote kuonekana kuwa ni Kama Genge la Wahalifu.
Nitakuwa sawa kabisa endapo nitasema wanachi wengi ni waovu kuliko wenye mioyo safi,maana police wanawakilisha jamii nzima.na wala haitasaidia lolote kufumua,kwani taasisi yenye malalamiko ni police peke yake???
Ndio maana tunasisitiza sheria iboreshwe,na katiba kwa ujumla.
wewe kama utakosa kabisa imani na polisi ukaamua kumwamini mwananchi wa kawaida kaza buti, utakuja kutoa mlio wa mbwa mbeleni.
 
Hahahahahaha ujatoka tu ibada ya kwanza? Fake P
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hatutaki urafiki, uhusiano na mazoea na nyie, wacha nibaki na muuza madafu wangu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kuna mmoja ni mpwa wangu kabisa mtoto wa dada yangu nimemuambia sitampigia simu kabisa, sitaki shida na taabu, maadamu yu hai abaki hukohuko kazini kwake, simu ya taarifa muhimu atapigiwa na wengine
 
Kuna wengine walikuwa watatu wako mtaani wanafanya doria, ghafla nikazoeana nao tukawa marafiki tukipiga stori huku natembea nao kuelekea uelekekeo niliokuwa naelekea. Mara paap wakaona nawazoezea wakaanza kunipiga bit nisiongozane nao nitafute uelekeo wangu. Nikaona isiwe taabu nikatafuta njia yangu peke yangu wasije wakanitwanga risasi waje waseme wamepiga risasi jambazi lililotaka kuwanyang'anya bunduki
 
Natamani mtu aandike dokezo ...kuwa raia wa Tanzania hawana imani na jeshi la polisi na wanalichukia .. halafu research ifanyike kuwa je ni kweli?? Itakuwa powa sana
 
Nina ma classmate wengi polisi na tunao kwenye group la WhatsApp, tunaenda nao kinafiki hivyo hivyo! Hawana maana hao umbwa juzi kati tukawa na changamoto moja, classmate mmoja na mtu tunatoka naye sehemu moja ambaye ni OC-CID akafanya juhudi za kumtoa mtuhumiwa wa mauaji kwa kuharibu ushahidi na upelelezi kwa ujumla! Umbwa kabisa hao! Matokeo yake mtuhumiwa akaachiwa! Huwa anajipendekeza kwangu nami namwangalia kama umbwa vile! Nyoko sana hawa watu! Tuishi nao kinafiki hivyo hivyo!
Umbwa [emoji777]

Mmbwa [emoji736]
 
Kweli kabisa, mara ya mwisho nilipigwa euro 300 pale Airport.
Nikakutana na huyo bwege Namanga anachange hela yangu.
Nikataka nimvae mpambe akasema kausha o bay hapo jirani tu.
Dah kwa msongo wa mawazo nikapata ajali usiku huo.
Alikupigaje Euro 300, maelezo kwa kina tafadhali Chifu.
 
Mshua wangu aliwahi kusema kuwa ukitaka kazi ya laana,fanya kazi ya Polisi
 
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Pia inasemekana hao Polisi ndiyo hutekeleza wizi wa kura kwa ajili ya ccm kinyume na matakwa ya umma wa wapiga kura
 
Mikoa ya tanga, mtwara ni nadra sana kusikia watu wamebambikizwa kesi
Na Ruvuma, [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku ni kupigwa kipapai tyuu!! Wala hatutaki malumbanoo.
 
Back
Top Bottom