Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Uko sahihi lakini utekelezaji wa majukumu yao umegubikwa na matukio mengi ya uonevu na mauji, cha msingi polisi mweke mbali katika cycle yako ya maisha, kutana nae pale inapojitajika kufanya hivyo, baada ya hapo jikatae, hawafai
Very True
 
Ni juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Kimsingi polisi haruhusiwi kupiga...shida ipo 1.mafunzoni 2.aina ya watu wanaoingizwa upolisi
 
Embu acha habari zako za kutunga tunga humu Kuna watu wazima tuna akili zetu na tunajua Kila kitu hivi unafikiri ni rahisi hivyo kugusa mwili wa ocd jaribu kama haujachakaa sura eti Zanzibar unaizungymiza Zanzibar ipi hiyo ni hii hii ninayokaa Mimi ya tanzania au ipi
Mkuu huijui Zanzibar wew wakuja tu.

Na watu kama nyinyi mnaonewa sana na trafik barabaran wakijua wewe sio mzawa basi hata kosa dogo tu la kutokuvaa helment unaweza ukachomolewa ata laki 2.

Sijaja apa kudanganya nidangaye kwa faida gani Mkuu?
 
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia

Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.

Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .

#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
Sio polisi tu , kiujumla Hawa watu wa saluti sio wazuri , Kuna mama mmoja kule salasala alizoeana na usalama wa taifa Mzee mmoja hivi ni jirani yke , Sasa yule mama alikua na bar pale mtaani , Ile bar ilivuma sana , Sasa yule Mzee usalama akawa anatembea na mdogo wke yule mama wa bar , na ilikua pisi ya uhakika , lakini yule Mzee hakuridhika akataka kuchovya na kwa dada mtu ambae ni mwenye bar , alivomkatalia alimletea difenda Kila siku Hadi yule mama yupo juu ya mawe Hadi sasa, wasukuma sio watu hasa wapate vyeo Kila uchi wanataka kuchovya mamaaaeeee
 
Hivi polisi yeyote akisoma huu uzi anajisikiaje jinsi watu wanavyowaona. Maana pia ni mstaafu mtarajiwa.
 
Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Kikubwa upo hai siku isiyo na jina utakuja kuleta ushuhuda hapa mwingine hapa kuwahusu.
 
Hata zanzibar Naunga mkono polis hawaogopew wanaonekan ni watu wa kawaida sana
Nakubaliana na wewe na ndio maana kwa Zanzibar huskii raia wametekwa tekwa na polisi.

Yaani Polisi waende mtaani wakamchukue raia kienyeji enyeji hakuna kitu kama icho.
 
Mkuu huijui Zanzibar wew wakuja tu.

Na watu kama nyinyi mnaonewa sana na trafik barabaran wakijua wewe sio mzawa basi hata kosa dogo tu la kutokuvaa helment unaweza ukachomolewa ata laki 2.

Sijaja apa kudanganya nidangaye kwa faida gani Mkuu?
Sema umeongeza chumvi
 
Nakubaliana na wewe na ndio maana kwa Zanzibar huskii raia wametekwa tekwa na polisi.

Yaani Polisi waende mtaani wakamchukue raia kienyeji enyeji hakuna kitu kama icho.
Naona mnalishana matango pori
 
Kuepuka yote haya ni vyema samia awaone kwa jicho la huruma kuwaboreshea mazungira ya kazi na maslah Kwan polis wanafany Kaz kubwa kuliko malipo Yao na hawana mda wa kudeal na side hustle
 
Zanzibar hakuna heka heka kama bara lakini wanajiamini sana kutokana na dini.
 
Polisi wa vyeo vya chini wengi wanazengua ila wakubwa wao hawana shida kivile.

Kuanzia nyota tatu kupanda juu ni nadra sana kukuta wenye tabia ambazo sio za kiproffessional.
Polisi wote wa hovyo tu. Hao wenye vyeo na nyota Tena ndo wa hovyo Sana . unakuta jitu linaelewa kabisa sheria lakini linapokea maagizo kutoka kwa wanasiasa na kuanza kukamata watu bila hatia.

Ex ubungo mayor bwana Boniphace Jacob na Godlisten Malisa waliokamatwa na kamanda Mulilo kisa wametoa Taarifa za kuuawa Kwa raia. Yaani unatoa Taarifa ya kiharifu polisi then wanakugeuza wewe ndo mharifu.
 
Back
Top Bottom