Yeah ni kwel kbsWazanzibari ni wengi ni watu humble, hawana makuu. Hii ipo sana kwa watu ambao ni waislamu.
Yeah ni kwel kbsWazanzibari ni wengi ni watu humble, hawana makuu. Hii ipo sana kwa watu ambao ni waislamu.
Mkuu Lucha usiweke wote katika kapu moja kuna wengine ni wazuri kama zilivyo kazi zote kuna wabaya na wazuri.Never say never.Polisi wenyewe hawataki ushkaji ndo maana wanakufanyia mabaya sasa wewe kwanini uwaze urafiki nao? Huwezi kuwa na urafiki na polisi kama huna tabia za kijipendekeza kwao ukiwa na mishe zako huo urafiki hauwezi kuwepo.
😂😂😂😂😂😂😂😂baadae
Ni kweli najua hata siku moja binadamu hawawezi kuwa wabaya wote au wote kuwa wazuri , ndani ya familia moja tu hamuwezi wote kuwa watoto wema lazima atakuwepo mmoja anazingua .Mkuu Lucha usiweke wote katika kapu moja kuna wengine ni wazuri kama zilivyo kazi zote kuna wabaya na wazuri.Never say never.
Yamekusibu mangapi, funguka ili tujueAskari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .
#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
Wewe ni polisi nini mkuu au mtoto wa Kota Just Distinctions ?Yamekusibu mangapi, funguka ili tujue
Hawana maisha mazuri na amani ya moyo.Hawa ndugu zetu sjui nn kinawasumbua wakati kwao maisha ni mazuri may be Tamaa na roho mbaya zinawasumbua
Wana maisha Mabaya Chief??Hawana maisha mazuri na amani ya moyo.
Ukitaka kujua kama wana maisha mazuri angalia kwenye makazi yao jengojr
Wanaishi kwa hali ngumu chief nadhani kwasababu ya machozi ya watu, kwenye kota zao wengine wanakatiwa hadi maji ya bomba kwa kutokulipa bili.Wana maisha Mabaya Chief??
Embu acha habari zako za kutunga tunga humu Kuna watu wazima tuna akili zetu na tunajua Kila kitu hivi unafikiri ni rahisi hivyo kugusa mwili wa ocd jaribu kama haujachakaa sura eti Zanzibar unaizungymiza Zanzibar ipi hiyo ni hii hii ninayokaa Mimi ya tanzania au ipiMwana amepigwa mkono na OCD nae hakukubali ikabidi amvamie Vurugu likatokea pana polisi wengine pale ikabidi waamue ugomvi na wale polisi walioamua ugomvi hawakumpiga mwana. Kwa mazingira kama yale OCD hakutegemea kama mwana angemvamia na kumuigia mwilini.
Znz ni tofaut na bara mkuu OCD sio big fish ni wa kawaida tu.
Jambo jengine Znz kuna uamii sana walio weng san wana backup za wakubwa uko kwenye jesh la polisi.
Kuna OCD mmoja alishawah kunambia ukitaka uwapate waznz ukimkamata tu malizana nae apo apo ukimweka ndan t baada ya nusuu utakuta cm inanigia kutok kwa mkubw wako uko juu umuschie kijana.
Mtu ana mjomba wake ni CP unadhan atakua muoga kwa polisi kama me na ww?
Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Mbona unawakashifu sasa ?
Nashukuru Mungu ndugu yangu aliyekuwa amebaki peke yake polisi amemaliza shahada yake ya sheria na amefaulu shule ya sheria na kwa sasa ni wakili anayezunguka kwenye vituo vya polisi na mahabusu kutafuta watu wa kuwasaidia.hamna ndugu mimi ndugu yangu wa damu akiwa polisi mimi na yeye hatuivani kabisa labda mwanajeshi ila sio polisi
Kuna mgeni toka nchi za magharibi...alisema polisi ya Tanzania kuna haja ya ku I reform...shida inaanzia CCP.Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia