Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Ni juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Hii chai yaani umpige OCD halafu mkuu wa kituo akutetee mzee hiyo ni ticket Yako ya kifo utazimwa sekunde tu acha uongo
 
Polisi hawezi kutoka kwenye kituo chake cha kazi akaja kumfuata raia bila sababu. Binadamu ndiye kiumbe hatari na kamwe usimwamini.
Ila sisi tukikabwa tunawakimbilia polisi wakati mwingine ukimpigia tu mkuu wa kituo simu kua nasikia huku kwangu siyo SHWARI defender hii napo nisiwe nao karibu bado sijashawishika mtaani kwetu bila polisi hatulali
 
Kuna demu mmoja mjeda (police) kanizimikia balaa, unataka kuniambiaje weye.!! alinikamata kosa la barabarani kutoka hapo yaani nataka kuoa kabisa kabisa maana si kwa mambo yale aisee !!
Chukua chuma hicho
 
Sisi sote ni jamii moja HAKUNA matengano UOZO unaouona kwa askari Polisi ndo huo huo uko, sokoni, mahakamani, bank, Zahanati , TRA, TAKUKURU nk .

Basi ni kwakuwa hujakutwa kwenye KONA inayowahusu au jamii inadhani ni HAKI yao kutendwq hivyo na IDARA zingine

Jamii yote DUNIANI inaasili ya kutaka KUONEWA HURUMA , KUDEKEZWA ,KUSAMEHEWA hivyo inapobanwa kilio namba moja ni kupeleka UBAYA.

NCHI ya AMERICA wao kwa utani wanaambiwa wanajifanya POLISI wa Dunia jiulize KWANINI?

UKIANDIKA POLICE wana IQ ndogo itazame jamii yako ikoje ina IQ kubwa ? Utulivu uliopo vp, tusidharau chombo ,peleka lawama kwa aliyekutenda.

Lkn IDARA YA MAJI , ZAHANATI, VYUO , SOKONI kila eneo POLISI yupo hata ndani ya nyumba katka familia POLISI yupo. Kusimamia sheria na taratibu .
 
Mtoa mada akumbuke kutumia neno 'baadhi'...😂😂😂
 
Nafikiri kuna mstari mdogo sana unao watenganisha polisi wa bongo na IQ ndogo, hawa watu niwajinga sana, ipo siku nitashusha uzi kuhusu upuuzi wa hawa watu, pumbavu kabisa
Ila bado uwepo wao ni muhimu sana kwa Usalama na utulivu huku Uraiani usisahau hilo.

Ila tatizo ni rahisi wao kutumika vibaya kisiasa sababu mambo yaliyo nje ya uwezo wao.
 
Polisi at akiwa ndugu yako hawezi kukusaidia, sana sana atataka kutumia shida yako kujinufaisha

Sisi sote ni jamii moja HAKUNA matengano UOZO unaouona kwa askari Polisi ndo huo huo uko, sokoni, mahakamani, bank, Zahanati , TRA, TAKUKURU nk .

Basi ni kwakuwa hujakutwa kwenye KONA inayowahusu au jamii inadhani ni HAKI yao kutendwq hivyo na IDARA zingine

Jamii yote DUNIANI inaasili ya kutaka KUONEWA HURUMA , KUDEKEZWA ,KUSAMEHEWA hivyo inapobanwa kilio namba moja ni kupeleka UBAYA.

NCHI ya AMERICA wao kwa utani wanaambiwa wanajifanya POLISI wa Dunia jiulize KWANINI?

UKIANDIKA POLICE wana IQ ndogo itazame jamii yako ikoje ina IQ kubwa ? Utulivu uliopo vp, tusidharau chombo ,peleka lawama kwa aliyekutenda.

Lkn IDARA YA MAJI , ZAHANATI, VYUO , SOKONI kila eneo POLISI yupo hata ndani ya nyumba katka familia POLISI yupo. Kusimamia sheria na taratibu .

Ila bado uwepo wao ni muhimu sana kwa Usalama na utulivu huku Uraiani usisahau hilo.

Ila tatizo ni rahisi wao kutumika vibaya kisiasa sababu mambo yaliyo nje ya uwezo wao.
Sijapinga uwepo wao, ninaonya watu kutokuwa na ukaribu nao isipokuwa kwa masuala ya kazi tu, either kutoa taarifa kuhusu uarifu au kwenda kushataki mtu muarifu ambayo hayo ni mahusiano ya kikazi, lakini nje ya hapo napinga kwa nguvu zote mtu yeyote kuwa na urafiki na hawa Viumbe, nikujikaribishia matatizo. #POLISI SIO RAFIKI, MKATAE
 
Hata hao polisi ni ndugu zetu na sehemu ya familia zetu, hatuwezi kuwatenga kisa tabia mbovu za 'baadhi' yao.
 
#POLISI SIO RAFIKI

Kazi na urafiki ni vitu viwili tofauti, ule niwajibu wao kushughulika na waarifu, na wanalipwa ili watulinde hvyo huduma yao kwangu ni wajibu wao wa msingi wala sio ombi
Mbona unawakashifu sasa ?
 
Back
Top Bottom