Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Sijapinga uwepo wao, ninaonya watu kutokuwa na ukaribu nao isipokuwa kwa masuala ya kazi tu, either kutoa taarifa kuhusu uarifu au kwenda kushataki mtu muarifu ambayo hayo ni mahusiano ya kikazi, lakini nje ya hapo napinga kwa nguvu zote mtu yeyote kuwa na urafiki na hawa Viumbe, nikujikaribishia matatizo. #POLISI SIO RAFIKI, MKATAE
Mahusiano ya kikazi ndo URAFIKI bila hali kama hiyo HAKUNA kazi itakayofanikiwa UPOLISI unaanzia nyumbani kwako!

Mkatae Polisi mmoja aliyekutenda siyo Taasisi
 
Mahusiano ya kikazi ndo URAFIKI bila hali kama hiyo HAKUNA kazi itakayofanikiwa UPOLISI unaanzia nyumbani kwako!

Mkatae Polisi mmoja aliyekutenda siyo Taasisi

siku ukipatwa na shida ndo utaona umuhimu wetu
Hakuna umuhimu wowote bali mnatimiza wajibu wenu kama watumishi wengine wa uma, cha ziada mlichonacho ni akili ndogo na uonevu juu ya raia ova
#POLISI SIO RAFIKI, MKATAE
 
Hivi OCD na mkuu wa kituo nani ana cheo kikubwa kwenye jeshi la Polisi?Hizi chai zingine!Yaani OCS aingilie kati vita ya OCD na raia?
Hhaha hata mimi nimeshangaa sana. Nina uhakika kabla ya huyo OCD/OCS kuingilia kati tayari huyo jamaa angekuwa ameshakula kipigo cha ghafla kutoka kwa askari wa chini.
 
Kabla ya kuwakwepa polisi jitahidi kukwepa aina yoyote ya uhalifu. Jitahidi sana kufuata sheria... Vyombo vingine vya usalama vikikumata lazima vikukabidhi kwa polisi kwahiyo hawakwepeki. Pia polisi ni ndugu zetu hawajashushwa kutoka mbinguni. Binafsi ninaunga mkono mambo ya kutoleta mazoea na mwanausalama yeyote kuanzia polisi, Takukuru, TRA, na TISS. Tena hao Takukuru wakikubana ni bora ukamatwe na polisi. Balaa lao ni zito
 
Hakuna umuhimu wowote bali mnatimiza wajibu wenu kama watumishi wengine wa uma, cha ziada mlichonacho ni akili ndogo na uonevu juu ya raia ova
#POLISI SIO ahsna
Ahsante kwa kunipa UPOLISI , ni taasisi muhimu kuwepo katka jamii yoyote ndo maana nasisitiza upolisi unaanzia nyumbani .

Kama katika miji yetu hakuna UPOLISI ndipo PANYA ROAD wanapoanzia na hawa Panyaroad ndio wanakuwa Mapolisi na idara Nyingine.

Jiulize unaisimamiaje familia yako, jirani zake wanazisimamiaje familia zao je? Mnazalisha nnn? POLISI HAIKATALIWI
 
aliyekuwa Raisi wa Tanzania awamu ya nne aliwahi kusema
"usirithi adui wa mwenzako"

mtoa mada usifundishe watu kuwa na chuki dhidi ya watu flan katika jamii.

leo umesema polisi yule mngine anasema walimu.
yule mwingine anasema Waislam yule mwingine wakristo
yule mwingine anasema wanawake.
Mwisho tutakuwa jamii ya hovyo sana.
 
Mbona mnapindisha, mada nyinyi polisi? Mada ni sisi raia kutokuwa na mahusiano ya kirafiki na nyie na wala hatutaki ujamaa na nyie. Kwani polisi ni lazima awe rafiki yangu ili atimize wajibu wake? Au ni lazima niwe na urafiki na polisi ili polisi anilinde? Au nilazima niwe napiga soga nyie polisi ili niende kutoa taarifa kuhusu uarifu au muarifu?.
#Polisi sio rafiki
 
Polisi Tz ni taasisi ya hovyo kuliko zote, ova
 
Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Anaelipia Nan hzi bia? Au anaeombwa ombwa hela ni Nan?
 
Polisi Tz ni taasisi ya hovyo kuliko zote, ova
Epuka kutoa kauli au maandishi ya kukashifu taasisi yoyote kwa chuku binafsi au kwa sababu ile iliyo binafsi.

kila idara au taasisi hazikosi changamoto zake ila hatutusi idara nzima
 
Naunga hoja,niliwahi kuwa mtendaji kata kwa muda,likatokea tukio polisi wakaja kutuliza na kuondoka na watuhumiwa sasa polisi mmoja akasema nipe namba yako nikamuuliza yanini,polisi akasema nataka uwe unanishirikisha matukio ya hapa kijijini,nikauliza tena matukio kama yapi,akaanza kujikanyaga kanyaga.

Kiufupi lengo lake likuwa nikunifnya chawa wake niwasaliti wanakijiji wangu kwa kuwa nalipoti matukio ya aneo langu.polisi hawafai kabisa popote walipo
Tatizo hiyo avatar
 
Mbona mnapindisha, mada nyinyi polisi? Mada ni sisi raia kutokuwa na mahusiano ya kirafiki na nyie na wala hatutaki ujamaa na nyie. Kwani polisi ni lazima awe rafiki yangu ili atimize wajibu wake? Au ni lazima niwe na urafiki na polisi ili polisi anilinde? Au nilazima niwe napiga soga nyie polisi ili niende kutoa taarifa kuhusu uarifu au muarifu?.
#Polisi sio rafiki
binafsi najenga urafiki/ukaribu na kilamtu sina haja ya kujenga chuki na mtu asiye na ubaya kwangu. kilamtu kwangu anakuwa na msaada sehemu yake na wakati wake.
we endeleza chuki tuu utajikuta huna haya namba ya daktari yoyote wakati unaishi na unawatoto.
 
Back
Top Bottom