Diego silva
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 414
- 671
Thread ifungwe, mkuu umemaliza kila kituSisi sote ni jamii moja HAKUNA matengano UOZO unaouona kwa askari Polisi ndo huo huo uko, sokoni, mahakamani, bank, Zahanati , TRA, TAKUKURU nk .
Basi ni kwakuwa hujakutwa kwenye KONA inayowahusu au jamii inadhani ni HAKI yao kutendwq hivyo na IDARA zingine
Jamii yote DUNIANI inaasili ya kutaka KUONEWA HURUMA , KUDEKEZWA ,KUSAMEHEWA hivyo inapobanwa kilio namba moja ni kupeleka UBAYA.
NCHI ya AMERICA wao kwa utani wanaambiwa wanajifanya POLISI wa Dunia jiulize KWANINI?
UKIANDIKA POLICE wana IQ ndogo itazame jamii yako ikoje ina IQ kubwa ? Utulivu uliopo vp, tusidharau chombo ,peleka lawama kwa aliyekutenda.
Lkn IDARA YA MAJI , ZAHANATI, VYUO , SOKONI kila eneo POLISI yupo hata ndani ya nyumba katka familia POLISI yupo. Kusimamia sheria na taratibu .
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app