hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Hivi polisi au mwanajeshi anaruhusiwa kumpiga raia ??
AiseeNiliwahi kumpa polis lift kutokea njia panda himo kuja Dar na bado akataka kunipandikizia, bangi kwenye Gari.
Maishan mwangu bora nimsaidie Shetani na sio polisi wa Tz
Mzee pole kwa yaliyokukuta. Ila mi nakushaur katika life jitahid kila engo una mtu. Police,uhamiaji,jeshin, advocate, Dr, maofisin,nk kila eneo. Ni muhim maana hata bible imeandika Mungu ameziumba pia siku mbaya kwaajili ya wabaya. Yaan kuna eneo hupataki lakini unajikuta kwenye harakat ushafika hapo. so we cha msingi ili kurahisisha Life basi huyo rafiki awe wa ngaz flan ya maamuz ili akipiga cm moja huko chini mambo yanajiseti yenyewe. Wabongo pia tunatikiwa kujua hakuna kitu cha bure dunian. Ukiona nchi kuna aman ujue kuna watu wako mahali either wamekesha kwaajili yako au wanaua watu kwaajili yako ndio unauona huu utulivu. So mi askari kuna wakati nawaelewa na sio askari tu hata usalama jeshi nk. Kudeal na mwanadamu ambao katikat yao kuna wezi vibaka magaid wasomi wajinga nk. Sio ishu ndogo. Ukitaka kujua ugumu wa hiyo kaz nenda kituo cha polisi ukae nao watu waanze kuleta kesi zao pale ni shida tupu. So siwaungi mkono kwenye ushenz ila nakupa angalizo tu. Banian ni mbaya ila kiatu chake ni dawa.Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .
#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
..uoe polisi..? nakutakia safari njema ya kuelekea kwenye matatizo lukuki mpaka utamani bora kufaKuna demu mmoja mjeda (police) kanizimikia balaa, unataka kuniambiaje weye.!! alinikamata kosa la barabarani kutoka hapo yaani nataka kuoa kabisa kabisa maana si kwa mambo yale aisee !!
acha ujinga we polisi.. hii mnafanya mara nyingi tuPolisi hawezi kutoka kwenye kituo chake cha kazi akaja kumfuata raia bila sababu. Binadamu ndiye kiumbe hatari na kamwe usimwamini.
sahihiUko sahihi lakini utekelezaji wa majukumu yao umegubikwa na matukio mengi ya uonevu na mauji, cha msingi polisi mweke mbali katika cycle yako ya maisha, kutana nae pale inapojitajika kufanya hivyo, baada ya hapo jikatae, hawafai
mkuu kumpenda police wa kike.. labda wanawake wote duniani waishe abaki yeye tu! akishavaa zile gwanda anakuwa na kiburi na dharau kwa kiwango cha juu kbs!Hayo mambo hayahusiani na mada.
Mambo ya kupenda yana vyanzo vingi mno, tena vingi vikiwa ni haramu.
Mi mwenyewe nyumba yangu ndogo niliipata chanzo kumgonga na pikipiki!
Ile "pole" Na msaada ama wajibu wa matibabu nilioutoa kwake kikawa ndiyo chanzo cha kutuunganisha kimapenzi.
Mtoa mada nadhani anapiga vita urafiki wa kishikaji na si wa kimapenzi.
Mapenzi nani kakwambia unaweza kuyakontroo kwa bandiko kama hili?
Mapenzi ni kama maji ya mafuriko ambayo hauwezi kuyazuia kwa viganja vya mkono.
..we endelea nao tu si hauna vinasaba vya wizi? siku moja utaleta mrejesho hapaMwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
mjinga huyo hayajamkuta.. polisi tz sio watu wa kuwa nao karibuUnaweza kuwa unaongea kama polisi wenyewe au unaongea kwa kuwa hayajakukuta.
Tarehe 22/12/2023 askari polisi 4 wa kiume wa kituo kikuu cha Polisi Iringa wakiwa wanaongozwa na Inspekta Elijah Paul Bundala mwenye simu na. 0757 046 570 akijitambulisha kuwa anahusika na Dawati la Jinsia walinifuata nyumbani kwa wazazi wangu kuja kuchukua (kupora) watoto wangu. Hapo walikuwa wameambatana na mke wangu ambae ni askari polisi pia (WP), yeye alitokea Dar na kufikia kituoni kwa ajili ya kusuka mipango yake, tuna mgogoro wa kifamilia.
Polisi hao hawakua na RB wala arrest warrant wala hawakua kwenye sare za jeshi (yunifomu).
Kwa hiyo kinachosemwa juu ya Jeshi la Polisi au juu ya askari Polisi ni kitu cha kweli na hakika, ni wahalifu na wavunjifu wa sheria. Wanalitumia jeshi au ofisi za umma kwa manufaa yao binafsi.
Na kama ukimlalamikia Polisi kituo cha polisi jua unapoteza muda maana hakuna hatua atazochukuliwa iwe ni kijeshi au kijinai.
Ahsante sana kwa mitandao ya kijamii kama JF, huku watu wanapaza sauti na zinasikika.
NB: Waliweza kuondoka na watoto. Nilichutama na kufunika kombe. Tuna[/B]
hakuna polisi mwenye nafuu... walio muuwa mfanyabiashara wa madini na kumfukia karibu na kiwanda cha dangote ni wa vyeo vya chini? we vpPolisi wa vyeo vya chini wengi wanazengua ila wakubwa wao hawana shida kivile.
Kuanzia nyota tatu kupanda juu ni nadra sana kukuta wenye tabia ambazo sio za kiproffessional.
atakusaidia nn? pesa yako ndo itakusaidia sio yeye.. huna haja ya kufahamiana nayeSiku ukija kupatwa na tatizo ndipo utaona umuhimu hata wa kufahamiana na polisi
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
tafuta hela mkuu.. ukiwa na hela hao woote watakuwa karibu na wewe Ila ukaribu na polisi no!Mzee pole kwa yaliyokukuta. Ila mi nakushaur katika life jitahid kila engo una mtu. Police,uhamiaji,jeshin, advocate, Dr, maofisin,nk kila eneo. Ni muhim maana hata bible imeandika Mungu ameziumba pia siku mbaya kwaajili ya wabaya. Yaan kuna eneo hupataki lakini unajikuta kwenye harakat ushafika hapo. so we cha msingi ili kurahisisha Life basi huyo rafiki awe wa ngaz flan ya maamuz ili akipiga cm moja huko chini mambo yanajiseti yenyewe. Wabongo pia tunatikiwa kujua hakuna kitu cha bure dunian. Ukiona nchi kuna aman ujue kuna watu wako mahali either wamekesha kwaajili yako au wanaua watu kwaajili yako ndio unauona huu utulivu. So mi askari kuna wakati nawaelewa na sio askari tu hata usalama jeshi nk. Kudeal na mwanadamu ambao katikat yao kuna wezi vibaka magaid wasomi wajinga nk. Sio ishu ndogo. Ukitaka kujua ugumu wa hiyo kaz nenda kituo cha polisi ukae nao watu waanze kuleta kesi zao pale ni shida tupu. So siwaungi mkono kwenye ushenz ila nakupa angalizo tu. Banian ni mbaya ila kiatu chake ni dawa.
upo sahihi sana mkuuFanya makosa yote Ila usije kufanya kosa la kua na mpenzi wa kike ambaye ni polisi.
Utanishukuru baadae.
Polisi wa vyeo vya chini wengi wanazengua ila wakubwa wao hawana shida kivile.
Kuanzia nyota tatu kupanda juu ni nadra sana kukuta wenye tabia ambazo sio za kiproffessional.
ChaiNi juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.