mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
- Thread starter
-
- #21
Uko sahihi na bahati mbaya mademu wengi wakali siku hizi hawashoboki nao, kitu kinachowapa wakati mgumu, kinawapelekea wawe na mlundikano wa hasira zilizoambatana na nyege, ogopa sanaKufanya urafiki na hao mafala ni UJINGA mtupu.
Polisi wote ni washamba wa mapenzi sijui tatizo hili ni Nani aliwaloga
Hayo mambo hayahusiani na mada.Kuna demu mmoja mjeda (police) kanizimikia balaa, unataka kuniambiaje weye.!! alinikamata kosa la barabarani kutoka hapo yaani nataka kuoa kabisa kabisa maana si kwa mambo yale aisee !!
Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia
Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.
Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .
#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
Sio kwa Zanzibar mkuu ktk sehem ambayo watu hawaogopi polisi mmoja wapo ni Zanzibar. Nishashuhudia kwa macho yangu RTO akirudishiwa kibao na raia kwa kesi za kipumbavKama ni kweli Huyo bajaji alikuwa na bahati lakini katika scnerio nyingi za hivyo, raia wengi wameuawa kwa kujaribu tu kubishana na hawa mbumbumbu kwa maneno matupu
Don't try it, kuna siku consequence itakuwa kubwaNi juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Unaweza kuwa unaongea kama polisi wenyewe au unaongea kwa kuwa hayajakukuta.Polisi hawezi kutoka kwenye kituo chake cha kazi akaja kumfuata raia bila sababu. Binadamu ndiye kiumbe hatari na kamwe usimwamini.
Alikua na nia nzuri,sasa kama kuna tukio la uhalifu unataka ukaripoti wapiNaunga hoja,niliwahi kuwa mtendaji kata kwa muda,likatokea tukio polisi wakaja kutuliza na kuondoka na watuhumiwa sasa polisi mmoja akasema nipe namba yako nikamuuliza yanini,polisi akasema nataka uwe unanishirikisha matukio ya hapa kijijini,nikauliza tena matukio kama yapi,akaanza kujikanyaga kanyaga.
Kiufupi lengo lake likuwa nikunifnya chawa wake niwasaliti wanakijiji wangu kwa kuwa nalipoti matukio ya aneo langu.polisi hawafai kabisa popote walipo
Umpige polisi utachakaaNi juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Mimi nisijue pa kuliporti mkuu!?Alikua na nia nzuri,sasa kama kuna tukio la uhalifu unataka ukaripoti wapi
KUna watu ni wajasiri wapo tayar hata kufaNi juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Kwenye vitu hapo,dawa ni kuwaroga TU,huwez pata hata ukienda mahakaman,maana hao wajinga wataficha ushahidihivi kuna Namna gani nxuri ya kuwaburuza hawa jamaa Mahakamani? Maana unashinda kesi, wanaambiwa na hakimu warudishe vitu walivyochukua kwako lakini hawarudishi mwezi wa Saba sasa.
Hata wanajeshi nao ni washamba sana wa kKufanya urafiki na hao mafala ni UJINGA mtupu.
Polisi wote ni washamba wa mapenzi sijui tatizo hili ni Nani aliwaloga
Chatu hana sumu hata kidogoKunywa soda kwa mangi nakuja kulipa.
Umeongea kweli tupu.
Polisi wa TZ ni sawa na chatu mwenye sumu kali.
Hivi OCD na mkuu wa kituo nani ana cheo kikubwa kwenye jeshi la Polisi?Hizi chai zingine!Yaani OCS aingilie kati vita ya OCD na raia?Ni juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Hii chai. Ocd ni boss wa mkuu wa kituo. Kumpiga ama kumdhalilisha bosi wa polisi mbele ya wale anaowasimamia ni kete tosha ya kifo chako kwa polisi wetu.Ni juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.