Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania.

jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
442415898_2415295328660199_8209480241930844540_n.jpg
 
Hapo cha ajabu kitu gani kwani hujui mpenzi wako wa sasa ni ex wa zamani wa mwingine
 
Mwanaume unampigiaje mwanamke magoti?

Sijawahi kuelewa,kwanini mwanaume umpigie mwanamke goti wakati wewe ndiye unayemuokoa?yeye ndiye anatakiwa apige magoti kushukuru yupo kijana mmoja MC huku Dar alilia wakati akivisha mwanamke pete sasa unajiuliza huyu anaolewa yeye au?
 
Wanaume tuna nadharia zenye mkanganyiko sana. Unakuta mtu anatombar mke wa mtu na haoni tatizo kushea, ila mtu huyo huyo akitombewa mkewe anakwambia "Mimi siwezi kushea mwanamke".

Sijui tumeumbwaje!!
Mna ubinafsi uliotukuka.
 
Utakuta mwamba ashamzibuaaa sana mtaro

Ova
 
Hayo maandishi makubwa yanasomekaje? Maana nishautwika hapa.
 
Wanaume tuna nadharia zenye mkanganyiko sana. Unakuta mtu anatombar mke wa mtu na haoni tatizo kushea, ila mtu huyo huyo akitombewa mkewe anakwambia "Mimi siwezi kushea mwanamke".

Sijui tumeumbwaje!!
Life code mkuu
 
Back
Top Bottom