Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
usiofu, siku ukitambulishwa na mkeo kuhusu mimi ni ex wake na nipo kwako hapo ndio utajua maajabu ya dunia polisiHapo cha ajabu kitu gani kwani hujui mpenzi wako wa sasa ni ex wa zamani wa mwingine
Huwa najiulizaga sana, utamaduni huu ulianziaga wapi? Kwani ukimvisha tu Pete umesimama kuna shida gani?unapiaje demu magoti
kufuru kubwa sana
Mna ubinafsi uliotukuka.Wanaume tuna nadharia zenye mkanganyiko sana. Unakuta mtu anatombar mke wa mtu na haoni tatizo kushea, ila mtu huyo huyo akitombewa mkewe anakwambia "Mimi siwezi kushea mwanamke".
Sijui tumeumbwaje!!
ni ujinga mkubwa kukataa ndoaJinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania.
jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
View attachment 2986360
NAKAZIAkataa ndoa
Kwann mkuuni ujinga mkubwa kukataa ndoa
Sitojali ninacho angalia mimi je nani anapewa nafasi kwa wakati huousiofu, siku ukitambulishwa na mkeo kuhusu mimi ni ex wake na nipo kwako hapo ndio utajua maajabu ya dunia polisi
Life code mkuuWanaume tuna nadharia zenye mkanganyiko sana. Unakuta mtu anatombar mke wa mtu na haoni tatizo kushea, ila mtu huyo huyo akitombewa mkewe anakwambia "Mimi siwezi kushea mwanamke".
Sijui tumeumbwaje!!