Kataa ndoa uishi maisha yako ya furaha na amani

Kataa ndoa uishi maisha yako ya furaha na amani

NITAZIDI KUPAZA SAUTI

KATAA NDOA LINDA KIBUNDA LINDA AFYA YA MWILI NA AKILI.

IMBA KATAA NDOA X30
 
Nimesikitishwa sana.. nimetoka kwenye harusi moja hapa, vijana wanajitutumua kweli kucheza [emoji23].

Anyway nawaombea mazuri.
 
Nimesikitishwa sana.. nimetoka kwenye harusi moja hapa, vijana wanajitutumua kweli kucheza [emoji23].

Anyway nawaombea mazuri.
Msamiati kuombea au kuomba au kusali yanatumika vibaya.

Yaani sala imekuwa kama kitu cha mzahamzaha tu huku Afrika/Mavumbini.
 
Back
Top Bottom