Kataa Ndoa Wazidi kupata Support: Pep Guardiola Talaka Mononi

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Posts
2,706
Reaction score
2,861
Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi yako.

Team Kataa ndoa mna hoja msikilizwe

Soma zaidi



 
Wanawake wapo kimaslahi zaidi akiona anakosa maslahi yake kwako anaenda kwa mwingine
Ndoa ni gereza kwa Mwanaume
Tumuige Achraf Hakimi
 
Angekuwa anagusa anaachia,unasogeza unaishi unaachia😀😀😀maisha yangekuwa burdani.Ona sasa kutaka sifa uonekane GENTLEMAN kimemramba.Hii dunia hakuna mwanamke atakuonea huruma zaidi ya mamako mzazi,endeleeni kukaza mafuvu hayo tupo hapa kuwabagaza na kuwacheka nyie wapumbavu🤗🤗🤗msiosikia.Mnakazi ya kuziabudu hizo nyau zenu.


Atakufa kwa depression huyu bure kabisa.Yaani dunia yenyewe iko batili sana embu sikia sababu za huyo kahaba😀😀😀😀, nyie vichwa panzi msiojifunza kwa hawa matahira waliopigwa MAPIGO MATAKATIFU endeleeni hivyohivyo na ujinga wenu wa kurithi.

Haya mzee Gwadiola aanze kuzisaka upya maana hizo nyingine ni za mwanamke😁😁😁😁poor SIMPS and WEAK MEN.

📌kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
 
Ndio maana timu inazingua
 
Mali zetu tunasajili kwa majina ya mama zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…