Kataa ndoa wenzangu wamenitenga

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Imefikia mahali hadi nakosa raha kabisa yani watu niliwaamini kama ndugu zangu humu JF leo wananitenga nakunipakizia kashfa mbaya mbaya na chafu.

Mimi kama kijana nilikua sitaki kuoa nikuwa kijana lengo langu lilikua ni kuchakata mbususu hadi ntapofika umri wa miaka 70- 80+ ndo nitimize nusu ya dini (kama nngefka umri huu).

Sasa toka jana nilivopost kwamba ntaoa nikiwa na umri huo, kataa ndoa maarufu humu JF (wanajulikana) wameniandama, hawanipi ushirikiano tena kama sku zote na kunitishia kunitoa kwenye kampeni hyo.

Sasa imefikia muda nawaza nipeleke tu mahari kwa huyo mtoto ninaeishi nae (nikipata boom la mwezi wa 5) lakini moyo unaniambia kijana baki na msimamo wako, wanawake hawaaminiki ni kama wamasai tu hawana dhamana.

Ushauri: Nifanyaje niskilize moyo au nipeleke mahari?
 

Attachments

  • Screenshot_2023-04-29_094718.jpg
    41.7 KB · Views: 13
Wewe na Simba hamna tofauti....


Ukianza kuisoma namba usije humu kutulilia
 
😁😁boom la mwezi wa tano aiseee:

Tarehe za kusaini bado kidogo kama ww upo jiran na kile chuo Cha pale mabibo sokoni bas kweny tar 7

Kama ni vyuo vingn jiandae mwezi wa tano mwishoni umpelekee baba mkwe 524k
 
😁😁boom la mwezi wa tano aiseee:

Tarehe za kusaini bado kidogo kama ww upo jiran na kile chuo Cha pale mabibo sokoni bas kweny tar 7

Kama ni vyuo vingn jiandae mwezi wa tano mwishoni umpelekee baba mkwe 524k
Hajielewi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…