Kataa ubaguzi ndani ya CHADEMA yazidi kupuputisha maelfu ya wanachama

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.

Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi.

Siri za ndani ya Chadema zinafichuliwa na waliotoka ndani, hakuna siri tena chama kimebaki uchiii.....hawafai hata kuwa viongozi wa familia zao.
 
Na wewe ukawaamini?
 
Mbowe mwenyewe angeshinda hali ingekuwa hivihivi.

Alisema wazi atawashughulikia watu fulani ambao ni hao waliomuunga Lisu.
 
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.
Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi.

Siri za ndani ya Chadema zinafichuliwa na waliotoka ndani, hakuna siri tena chama kimebaki uchiii.....hawafai hata kuwa viongozi wa familia zao.
Maelfu? Akili mbovu!
 
Hatuoni maelfu zaidi ya majina kama Kileo, Urasa, Urio yakiwa yameshamiri. 😀😀😀😀😀😀
 
Wengine tuliwaambia wakashupaza shingo

Lissu hata Heche hawana maturity ya kuendesha dude kubwa kama CDM

Bado fikra zao ni za kitoto na kiuanaharati wanafaa kuwa ndimu sio wapishi
 
Wananunuliwa na ccm hao, rushwa imetawala wanapewa hongo, takukuru ifanye kazi yake, au nayo ni takukuru ccm
 
Semeni kwamba WACHAGA wanaondoka CHADEMA kwa sababu walitaka chama kiendelee kubaki na Uchaga Uchaga tuu.
Hii ni ishara tosha kwamba ndugu zetu ukabila umewajaa sana. Aibu yao
 
Back
Top Bottom