Na wewe ukawaamini?Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.
Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi.
Siri za ndani ya Chadema zinafichuliwa na waliotoka ndani, hakuna siri tena chama kimebaki uchiii.....hawafai hata kuwa viongozi wa familia zao.
Maelfu? Akili mbovu!Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.
Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi.
Siri za ndani ya Chadema zinafichuliwa na waliotoka ndani, hakuna siri tena chama kimebaki uchiii.....hawafai hata kuwa viongozi wa familia zao.
Hatuoni maelfu zaidi ya majina kama Kileo, Urasa, Urio yakiwa yameshamiri. ππππππMaelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.