Kataa umasikini

Kataa umasikini

Kuna koo zina umaskini wa kirithi - laana. Kila unachokifanya hutoboi.

Kwa hiyo bidii si kigezo pekee ya kuukwepa umaskini.
 
Hapo kwa Mungu nimekubaliana mawe asilimia zote ila hayo mengine umetaja inaonyesha wazi hujui hela ndefu inakuja vp.....matajiri wengi tungeongea njia tulizopita kufika hapa , wengi wangeshtuka .
Ila kama unaongelea hela ya kula , sawa tu
Sawa. Tushushie nondo kwa upande wako mkuu.
 
Nawasalimu nyote.
Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na hiyo laana isikukute wewe na vizazi vyako vinavyokuja vunja kabisa hilo daraja unatakiwa upambane sana katika uatafutaji wako ukifeli tu unakua daraja la laana. Fanya yafuatayo kuondoa hiyo laana.
1. Fanya kazi kwa bidii/ ufanisi
2.Uaminifu katika kazi.
3.Acha chuki na roho mbaya
4.Amini katika mungu
5.Acha ngono zembe/ Uasharati
6.Usishindane na mtu katika utafutaji wako( Kua na malengo yako).
Ongeza zingine ili wote tuzijue.
Umeongea vema Mkuu
 
Back
Top Bottom