Kataa ushoga! Kataa usagaji! Ni kampeni nzuri lakini..!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Nimefarijika kuona haya maaandamano ya kupinga ushoga na usagaji! Dini ina dhima kubwa sana kwenye hili tatizo lakini kuna makosa kibao na ya wazi kabisa, hivyo badala ya kumaliza/kupunguza tatizo ni kama kulipa promo na kulitangaza kwa bei chee mno

Hili andamano liko kisiasa zaidi na bila mpango kazi wa suluhu yoyote ya kudumu.. Ushoga na usagaji ni jambo la kijamii zaidi kuliko hatia..Ni jambo lenye viasili vingi na wenye kulitaka liwe ni akili kubwa mara elfu kuliko haya maandamano yasiyo na mbele wala nyuma..
Hili ni swala linalogusa maslahi ya taifa.. Ustawi, kujitawala kujiweza na kujitenga na mikopo yenye masharti kificho
Hawa wenye jambo lao hawasiti hata kukuwezesha ili uandamane kuwapinga kwakuwa wana akili kubwa kuliko wewe na mipango yao ni mikubwa kuliko maandamano yako ya mchongo na kuganga njaa
Tujinasue kwenye mikopo yenye masharti kificho
Tujinasue kwenye misaada yenye malengo ya siri
Tujinasue kwenye kupokea misaada ya vitu vya kusindika
TUJIFUNZE KUJITEGEMEA...! na kuwa na maamuzi binafsi kwenye kila kitu
TULIPE MIKOPO YA WATU mikopo ni utumwa
Tujifunze kukataa vya bure.. Misaada tupewayo ina madhara makubwa kuliko faida

Je tunayaweza haya? Kama tunayaweza basi ni ruksa kuandamana.. Kama hatuyawezi..wanatucheka..!
Your browser is not able to display this video.
 
Maandamano ya "kataa ushoga" ni maandamano ya watu waliochanganyikiwa na maisha. Na humo katikati yao si ajabu ukakuta kuna mabasha na wafiraji wanaonuka madivi.

Maandamano yanayopaswa kufanyika ni maandamano dhidi ya ufisadi na wizi wa mali za nchi — Maandamano dhidi ya majizi na wadanganyifu wa kisiasa.

Huwezi kuandamana kukataa mtu kuliwa kinyeo chake. Huko ni kuchanganyikiwa.

Mtu akitaka kuliwa kinyeo analiwa tu hata kama uandamane haisadii. Ni kinyeo chake huwezi kumzuia.


View attachment 2611155
 
Huwezi kuandamana kukataa mtu kuliwa kinyeo chake. Huko ni kuchanganyikiwa.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848]
 
It is a psyop, a distraction,from the stupid sh*t happening in this country..Wabunge wanaongelea pombe bungeni ,Huku mibango ya mama inazidi kushushwa.. Some shady things are happening in this country and they are sending clowns and psyops to distract you
 
Hamna kitu kama hiyo mzee, ukisema waache misaada ya namna hiyo manake waache VXR wajibane kwenye mtumba za hardtop....

Miradi mingi ya miundombinu hizo attachment zipo na lazima wasign.... sasa wanakwepa wapi?

Lingine nikuulize... ni kipi mzungu anashindwa Africa, given tunatumia hisia bila logic... kuandamana kama vichaa na hatujui tunapinga nini.

Wazungu watutawala kwa stail hii hii... na bado utawala wao kwetu ni alfa na omega.
 

"Katika kunyamaza juu ya uovu, katika kuuzika ndani sana ndani yetu kwamba hakuna dalili yake kuonekana juu ya uso, tunalea uozo, na itatokea mara elfu wakati ujao. Tusipowaadhibu au kuwakanya watenda maovu, sio tu ni kulea uozo, bali tunararua misingi ya haki kutoka chini ya vizazi vipya."
 
Waouvu mnawaadhibu kwa namna gani?
Nani anajua yupi muovu na yupi si muovu.
 
Hi I kama baba ni shoga,hi yo familia inaweza kukwepa ushoga?
 
Kwa jinsi ulivyosambaa hata maandamano hayasaidii. 90% ya watoto waliolelewa na amsingle mama ni mashoga amini usiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…