Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nimefarijika kuona haya maaandamano ya kupinga ushoga na usagaji! Dini ina dhima kubwa sana kwenye hili tatizo lakini kuna makosa kibao na ya wazi kabisa, hivyo badala ya kumaliza/kupunguza tatizo ni kama kulipa promo na kulitangaza kwa bei chee mno
Hili andamano liko kisiasa zaidi na bila mpango kazi wa suluhu yoyote ya kudumu.. Ushoga na usagaji ni jambo la kijamii zaidi kuliko hatia..Ni jambo lenye viasili vingi na wenye kulitaka liwe ni akili kubwa mara elfu kuliko haya maandamano yasiyo na mbele wala nyuma..
Hili ni swala linalogusa maslahi ya taifa.. Ustawi, kujitawala kujiweza na kujitenga na mikopo yenye masharti kificho
Hawa wenye jambo lao hawasiti hata kukuwezesha ili uandamane kuwapinga kwakuwa wana akili kubwa kuliko wewe na mipango yao ni mikubwa kuliko maandamano yako ya mchongo na kuganga njaa
Tujinasue kwenye mikopo yenye masharti kificho
Tujinasue kwenye misaada yenye malengo ya siri
Tujinasue kwenye kupokea misaada ya vitu vya kusindika
TUJIFUNZE KUJITEGEMEA...! na kuwa na maamuzi binafsi kwenye kila kitu
TULIPE MIKOPO YA WATU mikopo ni utumwa
Tujifunze kukataa vya bure.. Misaada tupewayo ina madhara makubwa kuliko faida
Je tunayaweza haya? Kama tunayaweza basi ni ruksa kuandamana.. Kama hatuyawezi..wanatucheka..!