TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Bado hujanikataa vizuri halafu uache uchawaNakataa zinaa
TUKO PAMOJAZinaa Inaua
Zinaa inaleta Magonjwa
Zinaa inaleta Mikosi
Zinaa inaleta Nuksi
Zinaa Inakutenga mbali na Mungu
IKATAE ZINAA INAUA,ZINAA NI UHALIFU WA KIROHO
Mkuu hiyo ndiyo Zinaa yenyewe sasa😂Yaan 🍆yangu, hela zangu, mikakati yangu na ramani zangu... Nimtafute mdada tukubaliane vzr sijamlaghai kivyovyote tumekutana vzr tumepiga show asubuhi tukapata supu heavy nkamsindikiza afike kwake au nikampa nauli aende na nkawasiliana nae mpaka akafika, tukaagana fresh bila makwazo!
Then, anakuja mtu kataa zinaa😁😁bro we hapo uhusika wako upo wapi? Unaumia nn? Nimelala na mdada kwa ridhaa yake we unapungukiwa nn?