Rapture Man
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 439
- 145
- Thread starter
-
- #21
Ukitaka kujua kama katiba inayopenekezwa ni bora au sio bora isome ukiwa unailinganisha na rasimu ya Warioba hapo ndo utaelewa vizuri ..maana hii katiba imeandikwa kiujanja ujanja sana ukiisoma yenyewe peke yake unaweza ukajikuta unashawishika kuikubali.

napata mashaka na uelewa wako kama kweli umeisoma katiba pendekezwa kwa umakini na ukaielewa na ukafanya ulinganifu na rasimu ya warioba. hebu chukua muda kuchambua kitu kabla hujaanza kukikosoa coz unatoa hoja kwa kudhani, umeshindwa kusema au kutoa hoja mustakabali naona unazunguka zunguka huku na kule ukitafuta hoja zisizo na mashiko mara katiba pendekezwa imeandikwa kwa ujanja ujanja, sasa kitu hujakisoma unajuaje yaliyomo
kweli kabisa mchiwa n.