Ukisikia ile maana ya Mungu sii Athumani ndiyo hii,ukiwafungia Waja wa Mwenyezi Mungu mlango huu yeye anawafungulia milango mia moja!Walifanya kumfurahisha mkubwa wao bila kujua impact ya maneno yao
Gentleman,Unaandaa AFCON na unajua kutakuwa na wageni wengi kutoka mataifa mbalimbali, halafu unawatangazia nchi yako ina magaidi sio salama.
Katambi, hukujua kutangaza Tanzania sio salama kungeathiri uwekezaji, jeshi la polisi kutangaza limekamata magaidi 300 halijui ni kuathiri utalii.
Sijui nani kawashitua, ila hasara mliyoisababisha kwa taifa kwa hiki kipindi kifupi ili kuwakomoa Chadema na kumfurahisha mtu, itachukua muda mrefu ku recover.
Nchi hii inaendeshwa na vilaza sana.
Itawagharimu sana inabidi watafute PR wa kutangaza Tanzania haina magaidi Misime peke yake hatoshi.Walifanya kumfurahisha mkubwa wao bila kujua impact ya maneno yao
Wajinga sana hawa jamaa, Kombo Waziri wa Mambi ya nje anatumia mabilioni huko ughaibuni kusafisha uchafu wa 29.10,2025 huku nyuma huyu mwenye meno kama anakula kinyesi na mapolisi wake wanaitangazia dunia kuwa Tanzania kuna ugaidi, hakika huu ni utawala uliofitinika na anguko lake ni dhahiri halipo mbali.Itawagharimu sana inabidi watafute PR wa kutangaza Tanzania haina magaidi Misime peke yake hatoshi.
Pamoja na porojo zako mkumbushe mama zimebaki siku 9.Gentleman,
magenge ya kigaidi na washukiwa wote wa ugaidi kote nchini wataendelea kusakwa kokote pale walipo na kutiwa nguvuni bila kujali hizo porojo zako π
hiyo nonsense ikusumbue wewe na wafuata mkumbo wenzako gentleman na itapendeza zaidi πPamoja na porojo zako kumbushe mama zimebaki siku 9.
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Siku yakimkuta hatutaki kusikia eti Watanzania tuungane kumuombea.hiyo nonsense ikusumbue wewe na wafuata mkumbo wenzako gentleman na itapendeza zaidi π
ramli nonsense kama hizo zitumie kuwafariji wafuata mkumbo wenzako gentleman na itapendeza zaidi πSiku yakimkuta hatutaki kusikia eti Watanzania tuungane kumuombea.
Sijui alikuwa anawaza Nini...Kamharibia hata Mama, kipindi ambacho ni very vulnerable yeye anachochea Kuni, pengine bado yupo upinzani ndiyo sababu anafanya hayaNi aibu Katambi ataondoka kwenye hii wizara nda utakua mwisho wake kisiasa hii wizara haitaki siasa kutokana za zama tulizopo hiyo wizara inatakiwa kuongozwa na mwasheria nguli anaweza kusimamia usalama wa ndani police kutenda HAKI. ukileta uchawa utachomoka mapema kwenye hii wizara inaitaji mwenye akili na busara hii wizara sio wakina Katambi sijui kwanini walimtoa Chawene