Katambi: Heche anajua namzidi akili, kwahiyo siwezi kumuiga uongozi kutoka kwake

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya watu wanapohamasishwa kuandamana huwa tayari wamejiandaa kuondoka nchini endapo hali itabadilika.

Katambi amesema baadhi yao hubeba pasipoti zao mfukoni na mara maandamano yanapoanza, hutumia usafiri wa pikipiki (boda boda) kuelekea nchini Kenya, huku baadaye wakionekana katika nchi nyingine kama Canada.

Wakati wanawaambia tuandamane wameweka pasipoti mfukoni kikiinuka anakula boda boda... anaenda zake Kenya huyo kesho unamsikia yuko Canada."

"Mimi nitakufa hapa Tanzania sihami siendi popote."

"Kiongozi mwenye maarifa hawezi kuwalazimisha Watanzania waende wakachome mali za watu. Hawezi kulazimisha wakachome rasilimali za taifa."

"Leo Tunduma hapa tunaongea mmepata hasara ya bilioni 1.8 katika siku tatu."

Mh si alikua chadema na akituhimiza tuichukie ccm?
 
Mimi nitakufa hapa Tanzania sihami siendi popote."
KATAMBI, UMELEWA VIMADARAKA HIVYO ULIVYO NAVYO.
Hatuombi haya yatokee, Mungu pisha kwa mbali.. Hypothetical, likitokea kama hili, ukawa ume save umejificha, utajitokeza kuwa siwezi kukimbia? Usemi wako utauzingatia??

1980 DEPOSED MINISTERS EXECUTED IN LIBERIA

Thirteen leading officials of the ousted government in Liberia have been publicly executed on the orders of the new military regime.
1786467019719.png
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya watu wanapohamasishwa kuandamana huwa tayari wamejiandaa kuondoka nchini endapo hali itabadilika.

Katambi amesema baadhi yao hubeba pasipoti zao mfukoni na mara maandamano yanapoanza, hutumia usafiri wa pikipiki (boda boda) kuelekea nchini Kenya, huku baadaye wakionekana katika nchi nyingine kama Canada.

Wakati wanawaambia tuandamane wameweka pasipoti mfukoni kikiinuka anakula boda boda... anaenda zake Kenya huyo kesho unamsikia yuko Canada."

"Mimi nitakufa hapa Tanzania sihami siendi popote."

"Kiongozi mwenye maarifa hawezi kuwalazimisha Watanzania waende wakachome mali za watu. Hawezi kulazimisha wakachome rasilimali za taifa."

"Leo Tunduma hapa tunaongea mmepata hasara ya bilioni 1.8 katika siku tatu."

View attachment 3648554
Hili zwazwa nalo linabwatuka tu
GhfJRpEacAEgTRK.jpeg
 
Huyo bwana mdogo alitesimama nyuma yake anavyompiga jicho kiupembe tu
 
..Watawala waondokane na imani kwamba maandamano yakifanyika ni lazima kinuke, au waandamanaji washambuliwe na vyombo vya dola.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya watu wanapohamasishwa kuandamana huwa tayari wamejiandaa kuondoka nchini endapo hali itabadilika.

Katambi amesema baadhi yao hubeba pasipoti zao mfukoni na mara maandamano yanapoanza, hutumia usafiri wa pikipiki (boda boda) kuelekea nchini Kenya, huku baadaye wakionekana katika nchi nyingine kama Canada.

Wakati wanawaambia tuandamane wameweka pasipoti mfukoni kikiinuka anakula boda boda... anaenda zake Kenya huyo kesho unamsikia yuko Canada."

"Mimi nitakufa hapa Tanzania sihami siendi popote."

"Kiongozi mwenye maarifa hawezi kuwalazimisha Watanzania waende wakachome mali za watu. Hawezi kulazimisha wakachome rasilimali za taifa."

"Leo Tunduma hapa tunaongea mmepata hasara ya bilioni 1.8 katika siku tatu."

View attachment 3648554
Pumba...vu kabisa asee!
 
Back
Top Bottom