Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 6, 2026 #1 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata Serikali haiteki" bali "serikali inakamata mhalifu. Ikiwa mtu amekamatwa na vyombo vya dola, huo unaitwa ukamatwaji na si utekwaji. Soma Pia: Katambi: Tuwatie moyo askari, tusiwatweze na kuwaumiza wamejitoa maisha yao Upelelezi unapaswa kuwa umefanyika, na askari wanatakiwa kujitambulisha wanapomweka mtu chini ya ulinzi Your browser is not able to display this video.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata Serikali haiteki" bali "serikali inakamata mhalifu. Ikiwa mtu amekamatwa na vyombo vya dola, huo unaitwa ukamatwaji na si utekwaji. Soma Pia: Katambi: Tuwatie moyo askari, tusiwatweze na kuwaumiza wamejitoa maisha yao Upelelezi unapaswa kuwa umefanyika, na askari wanatakiwa kujitambulisha wanapomweka mtu chini ya ulinzi Your browser is not able to display this video.
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,898 Reaction score 40,547 Jun 6, 2026 #2 Mkalukungone Mwamba said: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata Click to expand... Mnadanganya mpaka mnajidanganya wenyewe.
Mkalukungone Mwamba said: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata Click to expand... Mnadanganya mpaka mnajidanganya wenyewe.
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,967 Reaction score 8,763 Jun 6, 2026 #3 Patrobasi wa Ccm au wa CHADEMA
mbotoro kivoi JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 2,018 Reaction score 3,009 Jun 6, 2026 #4 🤔🤔🤔
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Jun 6, 2026 #5 Watasema Yote Kila Mmoja Kwa Lugha Yake
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 14,241 Reaction score 40,752 Jun 6, 2026 #6 Amesema kutekwa ni kosa kisheria au nimemsikia vibaya ? Nilitegemea iwe kuteka ndio kosa kumbe ni kutekwa😃
Amesema kutekwa ni kosa kisheria au nimemsikia vibaya ? Nilitegemea iwe kuteka ndio kosa kumbe ni kutekwa😃