Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema hadi sasa hajapokea malalamiko kutoka kwa madereva kuhusu kukatwa point kwenye leseni zao, na kuongeza kuwa endapo kuna dereva amekatwa point, amfikishe mtu aliyemkata ili hatua zichukuliwe.
Pia soma: Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar
"Ni maagizo yangu na ni maelekezo yangu toka tarehe 19 nilivyotoa mongozo ambao ni andiko maalum... ili vyombo vya dola vya usalama visimkate dereva yoyote pointi..."
"Kwa hiyo mpaka sasa naavyozungumza kwenye jambo hili la pointi maagizo na maelekezo yangu na uamzi wangu ni huu. Jambo hili ili lisitishwe na tathmini ya kina itafanyika