Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwa hulka za mamlaka,maneno hayo yana maana zaidi ya moja ukamataji upo,ila ujulikane kwa Tanaka hilo pekee ama kwa sasa haupo ila utafuata kwa maana sii ya kutatua kiini cha shida ila kutumika nguvu kuficha kama lipo tatizo linalo hitaji ufumbuzi,hata kabla ya 0ct29, yalisemwa mengi na wapo waliotudanganya Hali ni shwari tukatiki,baadae wanajitetea kama sii kusema uongo kuwa walishtikizwa,hatimae wakamuua kuanza kufumua vichwa vya kila waliyeweza kumwona kama walipatwa na uendawazimu,ilhali walikuwa timamu,ila walikuwa wanajaribu kutengeneza hofu kuendelea kulinda maslahi Yao waliyoyajua na waliyoyajua kuendelea kutengeneza.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema hadi sasa hajapokea malalamiko kutoka kwa madereva kuhusu kukatwa point kwenye leseni zao, na kuongeza kuwa endapo kuna dereva amekatwa point, amfikishe mtu aliyemkata ili hatua zichukuliwe.
Kauli ya kisiasa hii. Nilitegemea awaambie wote waliokatwa points wawasilishe vielelezo vya kukatwa points kupitia viongozi wao na nyaraka hizo ziletwe moja kwa moja mezani kwake kupitia katibu muhitasi (kama suala la dharura-abira wanateseka).amfikishe mtu aliyemkata ili hatua zichukuliwe.
Kwa vipi mkuu?madereva ni watu hatari sana.
Hii fani imeingiliwa na wahuni.zamani mtu akiwa dereva anaheshimika ila siku hizi wanaonekana wahuni
Si unaona wanafanya makosa Bado wanaona wanaonewaKwa vipi mkuu?