Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na upelelezi na uchunguzi wa kina juu ya kesi ya kupotea kwa Humphrey Polepole ili kubaini ukweli wa mambo.
Katambi amesema licha ya kuwepo kwa taarifa zinazokinzana zikidai kuwa kiongozi huyo alikuwa nje ya nchi huku nyingine zikisema alikuwa hapa nchini wakati wa tukio, waziri amesisitiza kuwa kazi ya upelelezi bado inaendelea kikamilifu ili kuthibitisha ukweli wa taarifa hizo na hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.
Soma pia Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?