Hajitambui kabisaMsisikilize shetani huyu, mpuuzemi please
Watwmbie kwanza uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu umeishia wapi?Yaani uibe wewe halafu useme unachunguza wizi?
Inatia hasira sanaPumbavu zake
Wao ndio waliompiga,sasa watachunguza nini?Watwmbie kwanza uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu umeishia wapi?
Katambi atwambie Ni nani walimteka PolepoleWao ndio waliompiga,sasa watachunguza nini?
HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na upelelezi na uchunguzi wa kina juu ya kesi ya kupotea kwa Humphrey Polepole ili kubaini ukweli wa mambo.
Katambi amesema licha ya kuwepo kwa taarifa zinazokinzana zikidai kuwa kiongozi huyo alikuwa nje ya nchi huku nyingine zikisema alikuwa hapa nchini wakati wa tukio, waziri amesisitiza kuwa kazi ya upelelezi bado inaendelea kikamilifu ili kuthibitisha ukweli wa taarifa hizo na hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.
Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na upelelezi na uchunguzi wa kina juu ya kesi ya kupotea kwa Humphrey Polepole ili kubaini ukweli wa mambo.
Katambi amesema licha ya kuwepo kwa taarifa zinazokinzana zikidai kuwa kiongozi huyo alikuwa nje ya nchi huku nyingine zikisema alikuwa hapa nchini wakati wa tukio, waziri amesisitiza kuwa kazi ya upelelezi bado inaendelea kikamilifu ili kuthibitisha ukweli wa taarifa hizo na hatua stahiki ziweze kuchukuliwa.
Jibu lake hapo utaoga mvua ya mitusi tu kutoka CDMHIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?
hata hao CDM wameshindwa kushikilia bomba hadi mwisho.Jibu lake hapo utaoga mvua ya mitusi tu kutoka CDM